One incredible vs stereo

One incredible vs stereo

Wasifu wa sifa
Siyo sifa ya hiari
Njoo upate maarifa
Hii ndo taarifa ya habari
Watoto wanalala njaa Wamekosa furaha
Kisa wazazi waliponzwa na tamaa
Hili janga la jamii siyo janga la jamaa
Binti mwenye kiranga kanasa dume la mtaa


Uno..... one the incredible..
 
Soga za mzawa[emoji1544]by one incomparable with Sauti ya jogoo?what about fasihi simulizi?
 
Hawa jamaa wanakosea nini kwani mbona hata kenye shooo huwa wanapewa shangwe kuliko hawa wa kubana pua.hadi mkuu hapo juu mapovu kakariri mistar.i think there is problem somewhere
 
Hao ndo wana hip hop sio wakina Darasa kuna stereo kuna One kuna Pide MC kuna Nash MC kuna jamaa anaitwa Songa kuna Mtu anaitwa Kadigo Kuna niki mbishi Aisee One ni hatari kama nyukria
 
Hao ndo wana hip hop sio wakina Darasa kuna stereo kuna One kuna Pide MC kuna Nash MC kuna jamaa anaitwa Songa kuna Mtu anaitwa Kadigo Kuna niki mbishi Aisee One ni hatari kama nyukria
Kuna P the mc, Gheto ambassodor, Malle
 
Sio bongo tu...hata
Kenya...watu kama kina khaligraph..oxido.. unawasikia kwa mbali.
Ukienda south...Rick ricky..L- tido.. casper.hawaskiki kama jamaa aka
Njoo state..brother ali..nas..Jay Z mwenyewe hasikiki kama drake na kina tyga...
Haya Cameron anasikika Stanley...

Ila mziki sio Ukali wa mistari tu brother kuna technik kibao za kuteka soko
ahh cassper kashamfunika A.k.a ndo maana anafanya show kwny uwanja wa mpira na unajaaa
 
Back
Top Bottom