umetupiga kamba mkuu fatilia upya si majuzi huko south kaizer chief (kama sijakosea) alipokea waarabu na kuwapa mbinu wamtwange mamelodHakika
Huwezi kwenda Egypt kucheza dhidi ya Ahly, Zamalek wakakupa mbinu
Huwezi kwenda Congo kucheza na Tp Mazembe, As Vita wakawa na muda na wewe
Huwezi kwenda Morocco kucheza na Raja, Wydad wakawa na habari na wewe
Huwezi kwenda South Africa kucheza na Orlando, Kaizer chiefs wakawa na muda na wewe
Huwezi kwenda Rwanda kucheza na APR, Rayon sports wakawa na muda na wewe
Ila hapa tutapokea wapinzani hadi wapinzani wanapata hali Fulani ya kujiona wenyeji