Oneni huyu shabiki wa nyuma mwiko alichowaandikia Al masry.

umetupiga kamba mkuu fatilia upya si majuzi huko south kaizer chief (kama sijakosea) alipokea waarabu na kuwapa mbinu wamtwange mamelod
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ yuko sahihi.... Acha kumpangia chakusema alooh....
 
Huu ni ugonjwa wa mashabiki wengi nchi hii. Mtu anaweza kuzusha Jambo na wapumbavu wachache wakamuunga mkono pasipo ushahidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…