Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
Document ya kiswahili lakini imejaa maneno ya kiingereza; na ikumbukwe huyu Waziri alihojiwa na BBC kiingereza kibovu kama cha nywinywinywi
Document ya Wizara lakini menyewe yanadai ni Ubalozi… sijui yamedesa kutoka wapi
Na tamko halitaji limeandaliwa na nani. Humo ndani kuna “serikali”, kuna “wizara”, kuna “ubalozi” na kuna “ninaelekeza” ….taasisi 4 tofauti.
Elimu mbalimbali ni tatizo🚮🚮🚮🚮
Update:
Baada ya kupandisha uzi huu, hili Tamko🚮🚮🚮🚮 lilishushwa huko Insta page ya Wizara na hadi muda huu (saa 4:20 usiku) hawajalirudisha .
Kataa Wahuni; Elimu mbalimbali ni tatizo