PostGE2025 Oneni Wizara ya Mambo ya Nje inavyoandaa nyaraka zake na kukitangaza Kiswahili duniani

PostGE2025 Oneni Wizara ya Mambo ya Nje inavyoandaa nyaraka zake na kukitangaza Kiswahili duniani

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Niliwahi kusema hapa... huyu jamaa waziri kanjanja kipindi cha vurugu za uchaguzi alihojiwa na BBC...sasa yale majibu aliyotoa na ile english yake ukichanganya na reasoning yake nilisikitika sana....
Huyu jamaa anapewa hii wizara kwa competence ipi?....au sababu ya mama yake?....CCM kuna tatizo kubwa sana...
Tatizo la Tanzania 🇹🇿 sio Samia ni Mfumo...ndio unazaa upumbavu wote huu...
Nakubaliana na wewe Mkuu, kwa sasa sio kubadili CCM tu, ni mfumo mzima wa nchi unatakiwa kubadilishwa.
 
Watanganyika ndio wajinga wa kupindukia mnakubalije wazanzibar kutoka zanzibar wanakuja kuharibu na kuifedhehesha tanganyika kiasi hiki???
 
Document ya kiswahili lakini imejaa maneno ya kiingereza; na ikumbukwe huyu Waziri alihojiwa na BBC kiingereza kibovu kama cha nywinywinywi


Document ya Wizara lakini menyewe yanadai ni Ubalozi… sijui yamedesa kutoka wapi

Na tamko halitaji limeandaliwa na nani. Humo ndani kuna “serikali”, kuna “wizara”, kuna “ubalozi” na kuna “ninaelekeza” ….taasisi 4 tofauti.

Elimu mbalimbali ni tatizo🚮🚮🚮🚮

Update:

Baada ya kupandisha uzi huu, hili Tamko🚮🚮🚮🚮 lilishushwa huko Insta page ya Wizara na hadi muda huu (saa 4:20 usiku) hawajalirudisha .

Kataa Wahuni; Elimu mbalimbali ni tatizo
Who gives a shit?

Taifa liko katika hali ya maombolezo
 
Niliwahi kusema hapa... huyu jamaa waziri kanjanja kipindi cha vurugu za uchaguzi alihojiwa na BBC...sasa yale majibu aliyotoa na ile english yake ukichanganya na reasoning yake nilisikitika sana....

Huyu jamaa anapewa hii wizara kwa competence ipi?....au sababu ya mama yake?....CCM kuna tatizo kubwa sana...
Tatizo la Tanzania 🇹🇿 sio Samia ni Mfumo...ndio unazaa upumbavu wote huu...
Competence hakuna hapo, umekumbuka majibu aliyotoa huyo bwana Mashavu kuhusu kuzima internet alipohojiwa na Aljazeera?

Hii video ni ya 2015 angalia nyuma hapo utamuona bwana Mashavu alikua ni team ya kampeni ya mama Abdul na uzanzibari ndio kilichomuweka hapo sio competence.


View: https://youtu.be/7p-EoDXxe9k?si=PlyomCGP9b6pDY6K
 
Membe was too better than huyu jamaa.
Membe aliandaliwa kuishika ile nafasi ya mambo ya nje tangu akiwa kijana na pia alikuwa ni jasusi mbobezi.

Sasa huyu kiazi wa kizanzibari si anaonekana tu ameokota hiyo nafasi kama jinsi boss wake alivyookota uraisi.
 
Watanganyika ndio wajinga wa kupindukia mnakubalije wazanzibar kutoka zanzibar wanakuja kuharibu na kuifedhehesha tanganyika kiasi hiki???
Naona Watanzania bara tumekuwa mapopoma mno kiwango cha uzezeta! Hivi wana CCM maana wao ni mfumo wao huo, wanaona sawa hili? Kila mwenye akili timamu anaona tumeshikwa pabaya!
 
Back
Top Bottom