Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
Hawa watu wanaonyesha namna hawafai hata kuwa wenyeviti wa serikali za mitaa...Document ya kiswahili lakini imejaa maneno ya kiingereza; na ikumbukwe huyu Waziri alihojiwa na BBC kiingereza kibovu kama cha nywinywinywi
View attachment 3508873
View attachment 3508876
Document ya Wizara lakini menyewe yanadai ni Ubalozi… sijui yamedesa kutoka wapi
View attachment 3508883
Niko Washington, ubalozi wa Tanzania wamejaa wazenj kibao!! Ndio hao wanaokwenda kuvuruga maandamano yanayofanywa na WaTanaganyika dhidi ya Samia mara kawa mara!Mzanzibari aliwekwa pale kwa kazi maalum kuimaliza Tanganyika kidiplomasia huku dada yake akituua, kututeka na kutupoteza kama kuku.
Hakuna la maana wanalofanya hawa wapuuzi.
Ben MkapaMara ya mwisho hii wizara kuwa na waziri wa maana ilikuwa ni 2019 chini ya Agustino Mahiga waliofata wote ni viazi tu.
Membe was too better than huyu jamaa.Moja ya majitu ambayo ni vilaza wa kutupwa kwenye hii serikali haramu ni pamoja na huyo Thabit Kombo, huyo mjinga alijua kukera watu siku ile alipohojiwa na Aljazeera? Alinikera sio kidogo.
Mbali tu na haya madudu kwenye hii document lakini pia hata ukismkiliza anavyoongea anaonekana kabisa huyu ni debe tu, hana kabisa uwezo wa kudeal na diplomatic issues kwa namna inavyopaswa.
Inasikitisha mno! Hata kama ni ulaji, inaonyesha kabisa hakuna watu wenye uzalendo na Tanganyika. Nilishtuka mno kuona Thabit Kombo anakuwa Waziri wa mambo ya nje, hana uwezo kabisa, hivi ndani ya CCM tu hawaoni...Ni kweli hakuna wazee wa busara Tanganyika.Ila wazee wa Tanganyika wapumbavu, wazanzibar wanaharibu nchi yenyewe yapo kimya tu
Niliumia sana kusikia huyu jamaa kawa Waziri wa Mambo ya Nchi za nje...Hana uwezo wowote ule, na Foreign affairs wako watu wenye uwezo, na kurudisha balozi wenye uzoefu toka nchi za nje kuja kuchukua nafasi hiyo....! Inasikitisha.MUNGU baba unisamehe kwa kuchukia kiumbe chako ila huyu takataka nimetokea kumchukia kupita maelezo na sura yake utadhani sungura kapakwa mafuta ya nazi mwili mzima halafu akavalishwa miwani.