Paulsylvester
JF-Expert Member
- Oct 15, 2021
- 1,464
- 3,379
Kuna mambo Kwa sasa ukitumia akili kufikiri, utajiridhisha kwamba,
Kwa sasa utawalala huu hauhitaji watu wenye weledi katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi hii, isipokuwa ni kubebana tu ili mtoto wa aliyekuwa Fulani serikalini ale.
Na wakati mwingine ukitizama saaana kwa jicho la mwewe unaweza kudhani na ama kubaini kuwa ukiwa mtu ambaye umepewa nafasi ya juu na wananchi wakakuamini na wewe kama kiongozi ukaanza kukemea mambo ambayo kwako wewe uliyaona kama yana mwelekeo fulani hivi wa dini tulizoletetwa na wazungu pamoja na waarabu kwamba kulikuwepo na kamwelekeo hako ka kupendelea watu wa dini Fulani na wa dini Fulani kuachwa.
Kama kiongozi ukaingia kukemea jambo hili ni jambo la maana sana, lakini haitoshi tu kukemea, bali pia ni kusimamia kwa nguvu zote siku zote bila kuonesha tena upendeleo wa ama kimakosa, ama kwa makusudi!
Naomba kuoneshwa makosa ya Kafulila na Mimi nitawaonyesha makosa ya January Makamba.