Onesha kosa moja la Kafulila nami nioneshe makosa 10 ya January Makamba

kila mtu ni mwizi katika dunia hii, Muumba ndiye pekee anajua kiwango cha wizi kwa kila mtu.

Hata ukiiba Tsh50 nawe ni mwizi tu, ukiiba 1000 nawe ni mwizi tu ni vile hujapata nafasi aka umezidiwa na maarifa tu.

Magenge yakiharifu ndio yanatawala dunia, yanatofautiana malengo na vipaumbele tu. Na ili ulinde watu wako na maslahi ya watu wako duniani hapa lazima nawewe ujue namna ya kupambana na hayo magenge kihalifu.
Kwaiyo unarasimisha uwizi wako sio. We pu.mbu kweli
 
hujawahi kuiba kwenye maisha yako, mind that, wizi sio mpaka hela tu, hata ukitembea na mke wa mtu nao ni wizi tu, ukiiba muda wa mwajiri kazini kwako nao ni wizi tu.
 
Huwezijua pengine anataka kupewa nafasi kubwa zaidi.
Anaweza chukua nafasi ya prof.Kihyarara aliyekuwa Katibu Mkuu Viwanda na Biashara..

Kafulira anaweza na ile itamfaa Sana maana anajua siasa na uchumi Kwa pamoja na isitoshe amewahi kuwa Katibu Tawala yaani RAS..

Kazi za RAS na Katibu Mkuu wa Wizara zinafanana kwa sehemu kubwa.
 
Good points
 
Kuna mambo Kwa sasa ukitumia akili kufikiri, utajiridhisha kwamba,

Kwa sasa utawalala huu hauhitaji watu wenye weledi katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi hii, isipokuwa ni kubebana tu ili mtoto wa aliyekuwa Fulani serikalini ale.

Na wakati mwingine ukitizama saaana kwa jicho la mwewe unaweza kudhani na ama kubaini kuwa ukiwa mtu ambaye umepewa nafasi ya juu na wananchi wakakuamini na wewe kama kiongozi ukaanza kukemea mambo ambayo kwako wewe uliyaona kama yana mwelekeo fulani hivi wa dini tulizoletetwa na wazungu pamoja na waarabu kwamba kulikuwepo na kamwelekeo hako ka kupendelea watu wa dini Fulani na wa dini Fulani kuachwa.

Kama kiongozi ukaingia kukemea jambo hili ni jambo la maana sana, lakini haitoshi tu kukemea, bali pia ni kusimamia kwa nguvu zote siku zote bila kuonesha tena upendeleo wa ama kimakosa, ama kwa makusudi!

Naomba kuoneshwa makosa ya Kafulila na Mimi nitawaonyesha makosa ya January Makamba.
Ukuu wa mkoa siyo nafasi ya kudumu
Na sio lazima ufanye makosa ndo uondolewe ukuu wa mkoa
 
Sasa rais kaona anaweza kufanya ka:i vyema na January sio kavulila inashangaza .tu unatoka huko unalazimisha rais afanye kazi nanani!!! Huu ujinga hauwaishi kwani kiongozi gani huwa hana mapungufu? Labda sio dunia hii... Rais kampumzisha mtu kama kunamtu anampenda sana ampe kazi nyumbani kwake
 
Kuna mambo Kwa sasa ukitumia akili kufikiri, utajiridhisha kwamba,

Kwa sasa utawalala huu hauhitaji watu wenye weledi katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi hii, isipokuwa ni kubebana tu ili mtoto wa aliyekuwa Fulani serikalini ale.

Na wakati mwingine ukitizama saaana kwa jicho la mwewe unaweza kudhani na ama kubaini kuwa ukiwa mtu ambaye umepewa nafasi ya juu na wananchi wakakuamini na wewe kama kiongozi ukaanza kukemea mambo ambayo kwako wewe uliyaona kama yana mwelekeo fulani hivi wa dini tulizoletetwa na wazungu pamoja na waarabu kwamba kulikuwepo na kamwelekeo hako ka kupendelea watu wa dini Fulani na wa dini Fulani kuachwa.

Kama kiongozi ukaingia kukemea jambo hili ni jambo la maana sana, lakini haitoshi tu kukemea, bali pia ni kusimamia kwa nguvu zote siku zote bila kuonesha tena upendeleo wa ama kimakosa, ama kwa makusudi!

Naomba kuoneshwa makosa ya Kafulila na Mimi nitawaonyesha makosa ya January Makamba.
Kazuia michomoko ndo kosa kubwa na kuwa jeuri kwa wana CCM wa SIMIYU,japo mie nilifurahia alivyopiga marufuku michomoko
 
kuondolewa kwny uongozi wa kisiasa sio lazima uwe na kosa

Hayati Baba wa Taifa anasema mwaka 1983 alimuita aliekuwa Waziri Mkuu wake Ndugu Rashid Kawawa akamwambia amejisikia kumtoa kwny nafasi ya Uwaziri Mkuu na Makamu wa pili wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania japo hana kosa lolote akamtaka amsaidie kumshauri nahi anafaa kuchukua nafasi yake

Mzee Kawawa akapendekeza nafasi ile apewe Hayati Edward Sokoine na Nyerere akaridhia

Hata January Makamba alipoondolewa Wizarani na JPM hatukuambiwa kosa
Nadhani kawawa alikuwa na Moyo wa aina yake
 
Tuache kumaliza maneno..teuzi bado zinaendelea.
 
kuondolewa kwny uongozi wa kisiasa sio lazima uwe na kosa

Hayati Baba wa Taifa anasema mwaka 1983 alimuita aliekuwa Waziri Mkuu wake Ndugu Rashid Kawawa akamwambia amejisikia kumtoa kwny nafasi ya Uwaziri Mkuu na Makamu wa pili wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania japo hana kosa lolote akamtaka amsaidie kumshauri nahi anafaa kuchukua nafasi yake

Mzee Kawawa akapendekeza nafasi ile apewe Hayati Edward Sokoine na Nyerere akaridhia

Hata January Makamba alipoondolewa Wizarani na JPM hatukuambiwa kosa

Acha kumfananisha Rashid na vitu vya kijinga.
 
Huwa ni utashi tu wa mamlaka ya uteuzi na siyo lazima pawe na kosa wala sababu.
 
Back
Top Bottom