Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu wa mikoa na wilaya hawana tofauti na magavana wa kikokoloni,kuondolewa kwny uongozi wa kisiasa sio lazima uwe na kosa
Hayati Baba wa Taifa anasema mwaka 1983 alimuita aliekuwa Waziri Mkuu wake Ndugu Rashid Kawawa akamwambia amejisikia kumtoa kwny nafasi ya Uwaziri Mkuu na Makamu wa pili wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania japo hana kosa lolote akamtaka amsaidie kumshauri nahi anafaa kuchukua nafasi yake
Mzee Kawawa akapendekeza nafasi ile apewe Hayati Edward Sokoine na Nyerere akaridhia
Hata January Makamba alipoondolewa Wizarani na JPM hatukuambiwa kosa
Makamba ni JIZI kama mababa zake MAJIZI akina Kikwete and Mizoga family Company Limited.
Huyo ni MUHALIFU ndani ya ushirika wa MAGENGE YA UHALIFU yanayoongoza nchi hii.
Adhabu pekee anayostahili ni kuchapwa bakora za makalio na kufungiwa jiwe shingoni kisha kutupwa katikati ya MTO NILE akapambane na CROCODILES.
Waziri bila ubunge?Kwani zile nafasi za kuteua wabunge si ziliisha au? Labda ungesema ubalozi au ukatibu wizaraKafulila atateuliwa kuwa Waziri, ana hadhi ya kuwa Waziri, tulia
... Kafulila hana kosa lolote. Mnapoambiwa kikatiba madaraka ya mamlaka za uteuzi ni makubwa mno muwe basi mnaelewa. Tatizo ukiwa kwenye uteuzi huwezi kuyaona hadi "yakufike". Nafasi kama hizi zilitakiwa ziwe za kuomba badala ya hisani ya mtu! Hisani ya mtu wengine wataonekana saa ngapi?
Mtajuana wenyewe, Nan alimtuma aende CCM?Kuna mambo Kwa sasa ukitumia akili kufikiri, utajiridhisha kwamba,
Kwa sasa utawalala huu hauhitaji watu wenye weledi katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi hii, isipokuwa ni kubebana tuu ili mtoto wa aliyekuwa Fulani serikalini ale
Na wakati mwingine ukitizama saaana Kwa jicho la mwewe, unaweza kudhani na ama kubaini kuwa, Ukiwa mtu ambaye umepewa nafasi ya juu na wananchi wakakuamini, na wewe kama kiongozi, ukaanza kukemea mambo ambayo kwako wewe uliyaona kama yana mwelekeo Fulani hivi wa dini tulizoletetwa na wazungu pamoja na waarabu kwamba, kulikuwepo na kamwelekeo hako ka kupendelea watu wa dini Fulani na wa dini Fulani kuachwa, kama kiongozi ukaingia kukemea jambo hill, ni jambo la maana sana, lakini haitoshi tu kukemea, Bali pia ni kusimamia Kwa nguvu zote siku zote bila kuonesha tena upendeleo wa ama kimakosa, ama Kwa makusudi!
Naomba kuoneshwa makosa ya Kafulila na Mimi nitawaonyesha makosa ya January makamba
Sukuma Gang kubalini matokeo wacheni kulialia kama mataahiraKuna mambo Kwa sasa ukitumia akili kufikiri, utajiridhisha kwamba,
Kwa sasa utawalala huu hauhitaji watu wenye weledi katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi hii, isipokuwa ni kubebana tuu ili mtoto wa aliyekuwa Fulani serikalini ale
Na wakati mwingine ukitizama saaana Kwa jicho la mwewe, unaweza kudhani na ama kubaini kuwa, Ukiwa mtu ambaye umepewa nafasi ya juu na wananchi wakakuamini, na wewe kama kiongozi, ukaanza kukemea mambo ambayo kwako wewe uliyaona kama yana mwelekeo Fulani hivi wa dini tulizoletetwa na wazungu pamoja na waarabu kwamba, kulikuwepo na kamwelekeo hako ka kupendelea watu wa dini Fulani na wa dini Fulani kuachwa, kama kiongozi ukaingia kukemea jambo hill, ni jambo la maana sana, lakini haitoshi tu kukemea, Bali pia ni kusimamia Kwa nguvu zote siku zote bila kuonesha tena upendeleo wa ama kimakosa, ama Kwa makusudi!
Naomba kuoneshwa makosa ya Kafulila na Mimi nitawaonyesha makosa ya January makamba
watu humu wengi wana roho mbaya tu.kafulila yuko vzr tu mm sioni mapungufu yake.Kuna mambo Kwa sasa ukitumia akili kufikiri, utajiridhisha kwamba,
Kwa sasa utawalala huu hauhitaji watu wenye weledi katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi hii, isipokuwa ni kubebana tuu ili mtoto wa aliyekuwa Fulani serikalini ale
Na wakati mwingine ukitizama saaana Kwa jicho la mwewe, unaweza kudhani na ama kubaini kuwa, Ukiwa mtu ambaye umepewa nafasi ya juu na wananchi wakakuamini, na wewe kama kiongozi, ukaanza kukemea mambo ambayo kwako wewe uliyaona kama yana mwelekeo Fulani hivi wa dini tulizoletetwa na wazungu pamoja na waarabu kwamba, kulikuwepo na kamwelekeo hako ka kupendelea watu wa dini Fulani na wa dini Fulani kuachwa, kama kiongozi ukaingia kukemea jambo hill, ni jambo la maana sana, lakini haitoshi tu kukemea, Bali pia ni kusimamia Kwa nguvu zote siku zote bila kuonesha tena upendeleo wa ama kimakosa, ama Kwa makusudi!
Naomba kuoneshwa makosa ya Kafulila na Mimi nitawaonyesha makosa ya January makamba
Tafuta kibarua ufanye, kumchukia January hakuwezi kuondoa njaa zako zilizokupanda kichwani dada yangu!Kuna mambo Kwa sasa ukitumia akili kufikiri, utajiridhisha kwamba,
Kwa sasa utawalala huu hauhitaji watu wenye weledi katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi hii, isipokuwa ni kubebana tuu ili mtoto wa aliyekuwa Fulani serikalini ale
Na wakati mwingine ukitizama saaana Kwa jicho la mwewe, unaweza kudhani na ama kubaini kuwa, Ukiwa mtu ambaye umepewa nafasi ya juu na wananchi wakakuamini, na wewe kama kiongozi, ukaanza kukemea mambo ambayo kwako wewe uliyaona kama yana mwelekeo Fulani hivi wa dini tulizoletetwa na wazungu pamoja na waarabu kwamba, kulikuwepo na kamwelekeo hako ka kupendelea watu wa dini Fulani na wa dini Fulani kuachwa, kama kiongozi ukaingia kukemea jambo hill, ni jambo la maana sana, lakini haitoshi tu kukemea, Bali pia ni kusimamia Kwa nguvu zote siku zote bila kuonesha tena upendeleo wa ama kimakosa, ama Kwa makusudi!
Naomba kuoneshwa makosa ya Kafulila na Mimi nitawaonyesha makosa ya January makamba
ExactlyMambo mengine ni kujichosha tu, aliyemteua ndio aliyemtengua.
Kabisaaa... Kafulila hana kosa lolote. Mnapoambiwa kikatiba madaraka ya mamlaka za uteuzi ni makubwa mno muwe basi mnaelewa. Tatizo ukiwa kwenye uteuzi huwezi kuyaona hadi "yakufike". Nafasi kama hizi zilitakiwa ziwe za kuomba badala ya hisani ya mtu! Hisani ya mtu wengine wataonekana saa ngapi?
MmmhKosa la Kafulila ni kipindi kile kuiponda serikali ya Kikwete.
Hata tukikuonyesha itasaidia nini?Kuna mambo Kwa sasa ukitumia akili kufikiri, utajiridhisha kwamba,
Kwa sasa utawalala huu hauhitaji watu wenye weledi katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi hii, isipokuwa ni kubebana tu ili mtoto wa aliyekuwa Fulani serikalini ale.
Na wakati mwingine ukitizama saaana kwa jicho la mwewe unaweza kudhani na ama kubaini kuwa ukiwa mtu ambaye umepewa nafasi ya juu na wananchi wakakuamini na wewe kama kiongozi ukaanza kukemea mambo ambayo kwako wewe uliyaona kama yana mwelekeo fulani hivi wa dini tulizoletetwa na wazungu pamoja na waarabu kwamba kulikuwepo na kamwelekeo hako ka kupendelea watu wa dini Fulani na wa dini Fulani kuachwa.
Kama kiongozi ukaingia kukemea jambo hili ni jambo la maana sana, lakini haitoshi tu kukemea, bali pia ni kusimamia kwa nguvu zote siku zote bila kuonesha tena upendeleo wa ama kimakosa, ama kwa makusudi!
Naomba kuoneshwa makosa ya Kafulila na Mimi nitawaonyesha makosa ya January Makamba.
Mkuu unamfananisha Tumbili na Mtakatifu mwenye heri,the knowledgeable and untouchable Electrical Engineer and Taifa Gas Distribution Manager Professor Kipara January Makamba 🤣Kuna mambo Kwa sasa ukitumia akili kufikiri, utajiridhisha kwamba,
Kwa sasa utawalala huu hauhitaji watu wenye weledi katika kusukuma gurudumu la maendeleo ya nchi hii, isipokuwa ni kubebana tu ili mtoto wa aliyekuwa Fulani serikalini ale.
Na wakati mwingine ukitizama saaana kwa jicho la mwewe unaweza kudhani na ama kubaini kuwa ukiwa mtu ambaye umepewa nafasi ya juu na wananchi wakakuamini na wewe kama kiongozi ukaanza kukemea mambo ambayo kwako wewe uliyaona kama yana mwelekeo fulani hivi wa dini tulizoletetwa na wazungu pamoja na waarabu kwamba kulikuwepo na kamwelekeo hako ka kupendelea watu wa dini Fulani na wa dini Fulani kuachwa.
Kama kiongozi ukaingia kukemea jambo hili ni jambo la maana sana, lakini haitoshi tu kukemea, bali pia ni kusimamia kwa nguvu zote siku zote bila kuonesha tena upendeleo wa ama kimakosa, ama kwa makusudi!
Naomba kuoneshwa makosa ya Kafulila na Mimi nitawaonyesha makosa ya January Makamba.
Ni kweli, kosa liko hapo, hata aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Eng. Gabriel ana kosa ganI?Kosa lake aliteuliwa na magu.