Onesha kosa moja la Kafulila nami nioneshe makosa 10 ya January Makamba

Kwaiyo unarasimisha uwizi wako sio. We pu.mbu kweli
 
Kwaiyo unarasimisha uwizi wako sio. We pu.mbu kweli

hujawahi kuiba kwenye maisha yako, mind that, wizi sio mpaka hela tu, hata ukitembea na mke wa mtu nao ni wizi tu, ukiiba muda wa mwajiri kazini kwako nao ni wizi tu.
 
Huwezijua pengine anataka kupewa nafasi kubwa zaidi.
Anaweza chukua nafasi ya prof.Kihyarara aliyekuwa Katibu Mkuu Viwanda na Biashara..

Kafulira anaweza na ile itamfaa Sana maana anajua siasa na uchumi Kwa pamoja na isitoshe amewahi kuwa Katibu Tawala yaani RAS..

Kazi za RAS na Katibu Mkuu wa Wizara zinafanana kwa sehemu kubwa.
 
Good points
 
Ukuu wa mkoa siyo nafasi ya kudumu
Na sio lazima ufanye makosa ndo uondolewe ukuu wa mkoa
 
Sasa rais kaona anaweza kufanya ka:i vyema na January sio kavulila inashangaza .tu unatoka huko unalazimisha rais afanye kazi nanani!!! Huu ujinga hauwaishi kwani kiongozi gani huwa hana mapungufu? Labda sio dunia hii... Rais kampumzisha mtu kama kunamtu anampenda sana ampe kazi nyumbani kwake
 
Kazuia michomoko ndo kosa kubwa na kuwa jeuri kwa wana CCM wa SIMIYU,japo mie nilifurahia alivyopiga marufuku michomoko
 
Nadhani kawawa alikuwa na Moyo wa aina yake
 
Tuache kumaliza maneno..teuzi bado zinaendelea.
 

Acha kumfananisha Rashid na vitu vya kijinga.
 
Huwa ni utashi tu wa mamlaka ya uteuzi na siyo lazima pawe na kosa wala sababu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…