Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

Haki zinazobanwa na ndoa ni zipi hizo?πŸ™„ Matatizo yaliyopo lawama zake ziende kwa wanandoa bana...sio ndoa.

PS.
Nakataa kuitwa dictator nje ya kazi. 😁
He itakuwa we kweli bandidu kazini, una wapeleka watu mpela mpela😁.

Sema kataa ndoa hiki chama hiki 🀣
 
Lizzy wewe ni special case na jamaa yupo very lucky kuwa na wewe kwa sababu mmeweza kuendana. Ila huku mtaani issue ni tofauti,
 
Unaona ephen_ ashaanza kupiga hesabu za umri wangu 😁.. Acha niendelee kuwa mysterious 😁
Daah!!! Uliwahi kuzaa mwanangu!
Upo 30rd floor watoto wanne wifi nampa hongera zakeπŸ˜‚
 
Daah!!! Uliwahi kuzaa mwanangu!
Upo 30rd floor watoto wanne wifi nampa hongera zakeπŸ˜‚

Ni haya kutokujibu chochote maana neno lolote linaweza kutumika dhidi yangu katika point ya makutanio "posta" ☺
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…