Onesha mapenzi yako wazi wazi kwa umpendaye

Binadamu yoyote ukishampa assurance kuwa huwezi kuishi bila yeye. Mvuto juu yako huwa unaporomoka na unaonekana boring na unatabirika. Kwa hiyo hatoweka efforts zozote juu yako hadi pale atakapokupoteza na kuona gap unaloliacha kwenye maisha yake. Huwa ipo hivyo

So ulivyo ndivyo inatakiwa mtu awe especially kwa mwanaume ili kulinda manhood yake kwenye macho ya mwanamke πŸ“Œ
 
Ni kweli unasemaje huwezi kuishi bila mtu.
Atakuvuruga atakavyo
 
Naamini bado upo level ya sekondari ndiyo maana umedata na huyo mchizi wako ambaye hana majukumu yoyote zaidi ya kupewa matumizi na wazazi then anakupasishia japo buku mbili.

Ukikuwa sasa ndiyo utajua uachoongea sasa ni upuuzi mtupu.
 
Heshima yako bro πŸ‘
 
Kibabe au sio?
Hiyo inaitwa PENZI MIXTURE, yaani mapenzi yote duniani unapata hapa, kuchi kuchi hotae unaoata hapa, penzi la Brazil lipo, penzi la kiniga(amerika) lipo mpaka la wasambaa..

Yaani full mvurugo, tunadekezana akinivuruga namvuruga mara mbili yake, akinidekeza ni anadekezwa mara 2 yake.. yaani penzi 2 times, kasoro kutwangana tu, mie masuala ya kumpiga mwanamke yamenikalia kushoto kabisaaa, ikifika hatua hiyo ni bora aende tu, kuliko kumtwanga.
 
Mdogo angu mbona kama umeanza kuelewa busara zangu, au umeshaniibia manual guide yangu? πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…