United ya Ferguson
JF-Expert Member
- Oct 29, 2021
- 3,132
- 6,353
Napata shida sana kutumia simu janja kutokana na Uzee wangu πBabu jamani si una simu lakini?
Mtumie Bibi meseji yenye hii emoj β€
Nitakuelekeza taratibu Hadi utahamia digital
"Naijua hiyo"π€£π€£π€£π€£ haki vile sitakukimbiza kilimani babu
Hahahahaha..sawa sawaMimi wangu hataki nimtaje anasema italeta shida etiπππ
Huyo ndio mwenyewe kajitag π€£π€£π€£njoo na ID yko ya zamani yaani 4 april unamjua uniki flawa? Mmmh
Wavuta mjani toka lini wakawa na principle kwenye mapenzi?? π€£π€£π€£Mimi sioneshi waziwazi, na principle yangu ni hiyo, yaani hata nipende vipi, mwanamke wangu hawezi jua kiasi nimpendacho haswa, maana sieleweki eleweki, muda wa kujali naonesha kujali kuliko maelezo, kucare nina care kuliko babycareπ, muda wa kubembeleza kuliko MARLAW, kuna muda kama KALAPINA, yaani ye hajui yuko upande upi, anajihisi anapendwa lakini anahisi pia anaweza kuachwa muda wowote na sipungukiwi kitu.
Ni yeye udugu kaja kivingine π€£π€£π€£Bandiko lako linasema ukwelii kabisa, ila mbona ghaflaa sanaa?
Kwan imekuajee? Kimetokea nn? Aaaaah wee!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo chacha π€£π€£π€£Ameshajitaja huelewi?
I'm real honored πBabu nimejitolea kuwa mwalim wako
Onyesha upendo ikiwa bado yupo haiShikamooni wote maana ninajua wote mmenizidi umri (hii sio hoja ya huu Uzi kwa hiyo ma anko na ma aunty msifanye kesi).
Mapenzi ni matamu Sana pale unapopendwa na unapompenda mtu wako kwa dhati bila mipaka.
Yani ni kwamba mjiachie mjipe nafasi ya kutosha kufurahia kila wakati ambao nyie wawili mmejipatia kwa ajili ya kila mmoja.
Kama bado mwenzi wako abakuwekea mipaka na kukuficha kama arv basi kuna namna.
Raha ya kupendana wote muwe huru sio mnapita mtaa flani mwenza wako anakuambia tangulia kwanza me ndo Nije. A see huu sio mpango kabisa.
Kama una mtu wako unampenda na mmeshibana iwe hapa JF au nje ya JF mtaje kwa majina yake au kwa I'd yake ya JF ili kuonesha kwamba mahaba yamejaa Hadi yanamwagika.
Kama unaye wa hapa jf alafu hata kumtaja huwezi jua iko namna. Naskia wa JF kwa kugonganisha magari ndo wenyewe. Kuna haja ya siku za usoni kuweka taa ili kuepusha magari kugongana hapa JF.
Haya vibabu na vibibi, wajomba na ma aunty mje...
Unique Flower πΊπ»πΉπ· njoo dadangu umlete shemeji na maua yake.
Alafu lamama,sijapenda kunipa tumaini hewa kabisa.Ww mkaka njoo taratibu Liyah mke wa kaka angu π€£π€£π€£