Ongezeka la wanawake wasiopenda kuoga maji baridi inatisha hasa hawa GenZ

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Naomba niseme tu bila kificha hawa wanawake hasa mabinti ama wadada wa kizazi cha GenZ baadhi yao na idadi inaongezeka kwa kasi sana ni wavivu wa kuoga hasa maji baridi na wakithubutu wananawa chini tu kwenye samosa.

Inaogopesha sana hiki kizazi na pia hawa GenZ wengi ni wabovu wa vifua wengi hawataki AC na Feni ni kizazi cha ajabu sana.

Hizi nyakati za ajabu sana mwanamke pisi kali kwa kuumbwa ila mchafu hapendi kuoga ni aibu sana.

Yangu ni hayo nina uzoefu sijakurupuka.

Chief Wadiz
 
Kweli kabisa.!
 
Mwanamke yake kudeka,mimi hapa home nina wife wa 80s na shemeji wa 90s wapo radhi wachelewe wanakoenda wakanunue mkaa wakoleze ili wapashe maji wakaoge.

Vibaya kama wangekuwa wanaume,kuna vijana kuogea maji ya baridi na kunyimwa hela wao bora uwanyime hela siyo maji vuguvugu hawa ndiyo tatizo.
 
Mwanamke yake kudeka,mimi hapa home nina wife wa 80s na shemeji wa 90s wapo radhi wakanunue mkaa wakoleze ili wapashe maji wakaoge.

Vibaya kama wangekuwa wanaume,kuna vijana kuogea maji ya baridi kunyimwa hela wao bora uwanyime hela siyo maji vuguvugu hawa ndiyo tatizo.
Kwani kuoga maji ya baridi na ya moto kunakuaje tatizo?
 
Pisi safi sana nayo ni kero kuna kale ka harufu ka asili kanapotea , ndio jibu la kwanini beki tatu anaweza kumpindua mke wa ndoa.
Wewe umeongea point kubwa sana. Halafu mwanaume kuandika uzi wa kuwasimanga wanawake ni dalili ya ukosefu wa nguvu za kiume. Mleta uzi ana hilo tatizo.
 
Naomba niseme tu bila kificha hawa wanawake hasa mabinti ama wadada wa kizazi cha GenZ baadhi yao na idadi inaongezeka kwa kasi sana ni wavivu wa kuoga hasa maji baridi na wakithubutu wananawa chini tu kwenye samosa.

Inaogopesha sana hiki kizazi na pia hawa GenZ wengi ni wabovu wa vifua wengi hawataki AC na Feni ni kizazi cha ajabu sana.

Hizi nyakati za ajabu sana mwanamke pisi kali kwa kuumbwa ila mchafu hapendi kuoga ni aibu sana.

Yangu ni hayo nina uzoefu sijakurupuka.

Chief Wadiz
Unao wangapi kwanza tuanzie hapo
 
Kwani kuoga maji ya baridi na ya moto kunakuaje tatizo?
Mwanaume anajulikana wazi ni mtu wa majanga,ukienda jela leo nani atakupashia maji?

Ukipata pneumonia nani atakutibu jela zenyewe za bongo hizi?maji ya moto mwachie dada'ako mkuu mwanaume jiandalie mazingira magumu muda wowote.
 
😆😆😆😆Sasa kama nimejenga bafu la maji moto lipo niliache ?
 
Back
Top Bottom