Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
Pisi safi sana nayo ni kero kuna kale ka harufu ka asili kanapotea , ndio jibu la kwanini beki tatu anaweza kumpindua mke wa ndoa.
😂😂Japo neno la harufu ndo kiswahili ila haraka inaweza kusound vibaya😂😂. Anyway hata kimvuto weka neno pleasant aroma ka asili. 😂😂😂 Sijui nisemeje🤣🤣🤣