Pang Fung Mi
JF-Expert Member
- Nov 10, 2022
- 6,653
- 13,919
๐ ๐ ๐Unatusimulia habari za demu wako
Kweli kabisa.!Naomba niseme tu bila kificha hawa wanawake hasa mabinti ama wadada wa kizazi cha GenZ baadhi yao na idadi inaongezeka kwa kasi sana ni wavivu wa kuoga hasa maji baridi na wakithubutu wananawa chini tu kwenye samosa.
Inaogopesha sana hiki kizazi na pia hawa GenZ wengi ni wabovu wa vifua wengi hawataki AC na Feni ni kizazi cha ajabu sana.
Hizi nyakati za ajabu sana mwanamke pisi kali kwa kuumbwa ila mchafu hapendi kuoga ni aibu sana.
Yangu ni hayo nina uzoefu sijakurupuka.
Chief Wadiz
Kwani kuoga maji ya baridi na ya moto kunakuaje tatizo?Mwanamke yake kudeka,mimi hapa home nina wife wa 80s na shemeji wa 90s wapo radhi wakanunue mkaa wakoleze ili wapashe maji wakaoge.
Vibaya kama wangekuwa wanaume,kuna vijana kuogea maji ya baridi kunyimwa hela wao bora uwanyime hela siyo maji vuguvugu hawa ndiyo tatizo.
Wewe umeongea point kubwa sana. Halafu mwanaume kuandika uzi wa kuwasimanga wanawake ni dalili ya ukosefu wa nguvu za kiume. Mleta uzi ana hilo tatizo.Pisi safi sana nayo ni kero kuna kale ka harufu ka asili kanapotea , ndio jibu la kwanini beki tatu anaweza kumpindua mke wa ndoa.
Unao wangapi kwanza tuanzie hapoNaomba niseme tu bila kificha hawa wanawake hasa mabinti ama wadada wa kizazi cha GenZ baadhi yao na idadi inaongezeka kwa kasi sana ni wavivu wa kuoga hasa maji baridi na wakithubutu wananawa chini tu kwenye samosa.
Inaogopesha sana hiki kizazi na pia hawa GenZ wengi ni wabovu wa vifua wengi hawataki AC na Feni ni kizazi cha ajabu sana.
Hizi nyakati za ajabu sana mwanamke pisi kali kwa kuumbwa ila mchafu hapendi kuoga ni aibu sana.
Yangu ni hayo nina uzoefu sijakurupuka.
Chief Wadiz
Mwanaume anajulikana wazi ni mtu wa majanga,ukienda jela leo nani atakupashia maji?Kwani kuoga maji ya baridi na ya moto kunakuaje tatizo?
๐๐๐๐Sasa kama nimejenga bafu la maji moto lipo niliache ?Mwanaume anajulikana wazi ni mtu wa majanga,ukienda jela leo nani atakupashia maji?
Ukipata pneumonia nani atakutibu jela zenyewe za bongo hizi?maji ya moto mwachie dada'ako mkuu mwanaume jiandalie mazingira magumu muda wowote.