Ongezeka la wanawake wasiopenda kuoga maji baridi inatisha hasa hawa GenZ

Pisi safi sana nayo ni kero kuna kale ka harufu ka asili kanapotea , ndio jibu la kwanini beki tatu anaweza kumpindua mke wa ndoa.

๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Japo neno la harufu ndo kiswahili ila haraka inaweza kusound vibaya๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Anyway hata kimvuto weka neno pleasant aroma ka asili. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Sijui nisemeje๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Shida nini sasa tusipooga maji baridi?
Tunaoga maji vuguvugu, kipochi maji baridi. Hamna tuzo kwenye kuteseka asbh kuoga maji baridi
 
Wana mafuta mengi mwilini! Sasa fikiria mafuta yakikutana na baridi yanakuwaje?
 
Kwani maji baridi kuoga ni sunna? Wewe upo moshi au arusha unaweza kuoga maji baridi msimu kama huu
 
Pisi safi sana nayo ni kero kuna kale ka harufu ka asili kanapotea , ndio jibu la kwanini beki tatu anaweza kumpindua mke wa ndoa.
Kila siku nazidi kujiaminisha kuwa wewe ni Pro!!!๐Ÿคฃ
 
Hao ndio ukiwapeleka gheto wakat wa mechi inatakiwa madirisha yabaki wazi, maana unakuta kama unazibua chemba๐Ÿค’
 
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚Japo neno la harufu ndo kiswahili ila haraka inaweza kusound vibaya๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Anyway hata kimvuto weka neno pleasant aroma ka asili. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Sijui nisemeje๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Uzungu mwingi nao unapoteza ladha ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Hahahahha kwani bro?๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
Kaharufu ka asili mkuu๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ hutaki usafi uliopitiliza, ukipiga kidogo unasikia kale kaharufu ka kuongeza genye๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„Kabisa mkuu, unakuta mtu analalamikia mume wake ,umekosa nini kwangu mpka uende kwa mchafu bila kujua yule ana kaharufu ka kike kike kuliko yeye๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Dogo umekuwa legend !๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ