Ongezeko holela la vinywaji vikali na baridi,huenda ndio chanzo cha ugonjwa wa kisukari kwa vijana wadogo

Pombe, ngono, Mpira, kamali vinashusha vichocheo kama Dopamine, Serotonin, Oxytocin na endorphins.

Hivi vichocheo vikiwa chini vinasababisha energy ya mtu kuwa chini hatimaye hata uwezo wa kufanya maamuzi sahihi na kufikiria unapungua.
Hakika Mkuu Una Elimu kubwa Sana ✊🏿
 
Pombe, ngono, Mpira, kamali vinashusha vichocheo kama Dopamine, Serotonin, Oxytocin na endorphins.

Hivi vichocheo vikiwa chini vinasababisha energy ya mtu kuwa chini hatimaye hata uwezo wa kufanya maamuzi sahihi na kufikiria unapungua.
Nina ushuhuda katika hii hasa kupitia betting,ukiwa mrahibu wa kubet huwa muda wote unaishi kwa tension kubwa sana na kuna hata uwezo wa kuwaza na kufanya mambo mengine unapungua,ukiacha kubet hata wiki tu unajiona wa tofauti mno unakua mwepeeesiii kwa kila kitu hata usingizi unapata vizuri tu.
 
Dunia Ina mambo mengi sana ya hovyo hovyo ambayo yanafanyiwa promotion yaonekane ya kisasa. Kama hauna ufahamu na haujitambui utakuwa muhanga na kuharibikiwa kirahisi.
 
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi la vinywaji vya sukari na pombe ambazo havina viwango na vinauzwa bei rafiki ambayo hata watoto wa shule wanamudu kununua huko mitaani.
Ukichunguza sana hivi vinywaji havina hata TBS na vingi ni feki yani vinatengenezwa na viwanda vya kificho bila kufuata taratibu na kanuni za utengenezaji wa bidhaa zinahusu afya ya mlaji.
Huenda vitu hivi ndio vinavyosababisha ongezeko kubwa la ugonjwa wa kisukari kwa vijana wadogo kabisa,maana tulizoea miaka ya nyuma ugonjwa huu unawakumba wazee kutokana na sababu mbambali lakini siku hizi ni kawaida kabisa kukuta kijana wa miaka 15-25 anaumwa kisukari.

Mamlaka zinazohusika zichukue jitihada stahiki kudhibiti vinywaji feki mtaani wanaoumia ni watoto wetu.
Kwani nyie watu michuzi iliwafanya nini aiseee??? Mbona kamali zipo nyingi na kila siku zinaongezeka mpya na hamsemi? bange watoto wanavuta kuliko kunyw hizo pombe, kate mbili za bangi ni 500. Wewe sema tu dukuduku lako kwamba hupendi wTu wanaokula uchuzi. usijifanye unawahurumia watoto au afya za wanywaji. hoja yako naiona inarudi reverse tu. Ngoja nikapate konyagi ndogo kwanza.
 
Nilifikiri kuna data zilizotokana na research kumbe hisia tu, anyway ahsante kwa mafikira yako
 
Hizo mamlaka ziko compromised... Maana zina percent zao hapo halali na haramu
Wanaouza hivyo vinywaji vya kuharibu afya za vijana wetu ndio haohao watapata tenda za kuleta madawa ya kuwatibu
Wanaoleta pikipiki zinaleta ulemavu kila uchao ndio haohao wanapata tenda za kuleta magongo miguu bandia na vyuma😩😩😩
Ni biashara juu ya biashara
 
Tumekua mitaji kisiasa na kibiashara pia dooh
 
Nafikiria kwa jinsi wimbi kubwa la vijana wanaotumia energy drinks kwa miaka 10 mbele sijui watakuwa na hali gani. Kuna baadhi ya vijana ambao nimewashuhudia wakitumia hivyo vinywaji wanalalamika sana juu ya meno.
 
Miaka ya hivi karibuni kumekuwa na wimbi la vinywaji vya sukari na pombe ambazo havina viwango na vinauzwa bei rafiki ambayo hata watoto wa shule wanamudu kununua huko mitaani.
Ukichunguza sana hivi vinywaji havina hata TBS na vingi ni feki yani vinatengenezwa na viwanda vya kificho bila kufuata taratibu na kanuni za utengenezaji wa bidhaa zinahusu afya ya mlaji.
Huenda vitu hivi ndio vinavyosababisha ongezeko kubwa la ugonjwa wa kisukari kwa vijana wadogo kabisa,maana tulizoea miaka ya nyuma ugonjwa huu unawakumba wazee kutokana na sababu mbambali lakini siku hizi ni kawaida kabisa kukuta kijana wa miaka 15-25 anaumwa kisukari.

Mamlaka zinazohusika zichukue jitihada stahiki kudhibiti vinywaji feki mtaani wanaoumia ni watoto wetu.
Nakazia sio kisukari tuu,Figo, pressure,Shinikizo la Moyo,Kongosho,Nguvu za Kibaba nk!
 
Hiviiii naomba kupata uelewa, pombe kali kwa ule uchungu wake zinaongeza sukari au zinapunguza sukari kwenye damu,au zinasababishaje kisukari?

Wataalam wa afya msaada kwenye tuta hapa.
 
Back
Top Bottom