Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 15,331
- 22,307
Pamoja na ukari,vina sukari Nyingi za viwandani mkuu!Hiviiii naomba kupata uelewa, pombe kali kwa ule uchungu wake zinaongeza sukari au zinapunguza sukari kwenye damu,au zinasababishaje kisukari?
Wataalam wa afya msaada kwenye tuta hapa.