Weka ushahidi wa ongezeko la ajali baada ya trafic kupunguzwa barabarani. Naona njaa imewakaba nyie polisi sasa mnaleta justifications za kitapeli.Hivi karibuni kiongozi wetu mmoja "aliteleza" na akasema kwamba trafiki wamekuwa wengi barabarani. Watu wengi walishangilia. Ila militia shaka.
Naona ongezeko kubwa la ajali za barabarani baada ya tamko Hilo, nadhani kuna uwiano wa kauli hiyo na matukio ya ajali, trafiki wamepunguzwa barabarani, Sasa madereva wanajiachia bila woga, na wananchi wanakufa kwa ajali
Nadhani Polisi waachwe wafanye kazi yao kitaalamu, mapungufu yalikuwepo, lakini maisha yaliokolewa
Ajali zote,watu wanahojiwa wanadai Mabasi yalikuwa speed ila watu wako kimya..Hivi karibuni kiongozi wetu mmoja "aliteleza" na akasema kwamba trafiki wamekuwa wengi barabarani. Watu wengi walishangilia. Ila militia shaka.
Naona ongezeko kubwa la ajali za barabarani baada ya tamko Hilo, nadhani kuna uwiano wa kauli hiyo na matukio ya ajali, trafiki wamepunguzwa barabarani, Sasa madereva wanajiachia bila woga, na wananchi wanakufa kwa ajali
Nadhani Polisi waachwe wafanye kazi yao kitaalamu, mapungufu yalikuwepo, lakini maisha yaliokolewa
Hivi kupasuka kwa Tairi la basi kampuni ya Tanzanite kule kijijni Makutupora ni kwa sababu ya traffic hakuwepo? Inaamana traffic angeshikilia hilo tairi ili ajali istokee? Au kwa vile tu kaulaji/kautepeli kamepunguzwa?Hivi karibuni kiongozi wetu mmoja "aliteleza" na akasema kwamba trafiki wamekuwa wengi barabarani. Watu wengi walishangilia. Ila militia shaka.
Naona ongezeko kubwa la ajali za barabarani baada ya tamko Hilo, nadhani kuna uwiano wa kauli hiyo na matukio ya ajali, trafiki wamepunguzwa barabarani, Sasa madereva wanajiachia bila woga, na wananchi wanakufa kwa ajali
Nadhani Polisi waachwe wafanye kazi yao kitaalamu, mapungufu yalikuwepo, lakini maisha yaliokolewa
Ushahidi upi zaidi ya huo wa ajali kuongozeka baada ya wao kupunguzwa?Weka ushahidi wa ongezeko la ajali baada ya trafic kupunguzwa barabarani. Naona njaa imewakaba nyie polisi sasa mnaleta justifications za kitapeli.
Yes mkuu ila mara nyingi tunazilinganisha na za jirani zetu hasa hizi za SADC, Zambia sasa inaijenga upya barabara ya Nakonde to Kapiri Mposhi(almost imefika Chinsali)sisi bado hii T1 yetu tunaitia viraka na Matuta (no speed bumps in freeways),zambia wameijenga vema barabara zinazokwenda kwenye borders zake za Zim na Botswana, sasa sisi mkuu inabidi nasi tuanze na sababu za ajali refers interview ya kamanda Haji pale Inyala, MbeyaWatu wanataka kuifananisha Tanzania na nchi zilizoendelea
♦️ Tanzania miundombinu ya barabara bado sana kulinganisha na nchi zilizoendelea, hata kama tumejitahidi kuwa na barabara za lami lakini hazina ukubwa kama za nje ambazo magari yatakuwa na njia nyingi
♦️ Nchi zilizoendelea wameweka mifumo ya CCTV barabara zote , na mifumo madhubuti ya taa za kuongozea magari hivyo sii lazima sana kwa askari kuwepo barabarani
♦️ Madereva wa nje tofauti na wabongo wanapimwa akili na vilevi hivyo sio rahihisi kwa mtu.anayetumia kitu ya Arusha ile ya WAJAKOYAH tofauti na bongo ambako madereva watumia mirungi, viroba ,kitu ya wajakoyah ni wengi na hata kuvaa mkanda tu ni mpaka amwone traffic sembuse akiwa huru high way?
Yes mkuu ila mara nyingi tunazilinganisha na za jirani zetu hasa hizi za SADC, Zambia sasa inaijenga upya barabara ya Nakonde to Kapiri Mposhi(almost imefika Chinsali)sisi bado hii T1 yetu tunaitia viraka na Matuta (no speed bumps in freeways),zambia wameijenga vema barabara zinazokwenda kwenye borders zake za Zim na Botswana, sasa sisi mkuu inabidi nasi tuanze na sababu za ajali refers interview ya kamanda Haji pale Inyala, Mbeya
Hakuna popote trafic wamekuwa wakizuia ajali za barabarani nchi hii badala ya kujikita kwenye rushwa barabarani.Ushahidi upi zaidi ya huo wa ajali kuongozeka baada ya wao kupunguzwa?
Aiseee ulaji sio kitu ya kuchezeaWeka ushahidi wa ongezeko la ajali baada ya trafic kupunguzwa barabarani. Naona njaa imewakaba nyie polisi sasa mnaleta justifications za kitapeli.
Hakuna popote trafic wamekuwa wakizuia ajali za barabarani nchi hii badala ya kujikita kwenye rushwa barabarani.
Mbona siku za nyuma hakukuwa na ajali nyingi namna hii?Ajali zote,watu wanahojiwa wanadai Mabasi yalikuwa speed ila watu wako kimya..
Sasa hapo Polisi wanalaumiwa kwa lipi? Polisi hawezi kuwepo kila sehemu na Kwa hii tabia naona ngoja tuvunjwe miguu ndio akili itakaa sawa.