Ongezeko la bajeti ya kijeshi ya Marekani latishia amani duniani

USA wana budget kubwa ya jeshi sababu wananunua vifaa vya kijeshi kutoka kampuni binafsi wanawauzia bei ya juu zaidi ya uhalisia tofauti na russia kampuni za vifaa vya kijeshi ni za serikali
 
View attachment 2579154

Hivi karibuni serikali ya Marekani ilitangaza bajeti ya matumizi ya kijeshi kwa mwaka 2024 ya dola bilioni 842 za kimarekani, ambalo ni ongezeko la asilimia 8.9 ikilinganishwa na mwaka jana. Inakadiriwa kuwa bajeti hiyo ya mwisho itakayoidhinishwa na bunge la nchi hiyo inaweza kuzidi dola bilioni 900 za kimarekani.

Katika miaka ya hivi karibuni, ili kudumisha umwamba wake duniani, Marekani imeendelea kuongeza bajeti yake ya kijeshi. Katika mwaka wa fedha wa 2024, matumizi ya kijeshi ya Marekani ni pamoja na dola bilioni 37.7 kwa ajili ya kuendeleza makombora mapya, ndege ya kimkakati ya kutupa mabomu na silaha za nyuklia, dola bilioni 170 kwa ununuzi wa silaha nyingine za kisasa, na dola bilioni 145 kwa maendeleo ya makombora ya kasi kubwa. Wakati huo huo, serikali ya Marekani tayari imekumbwa na mizigo mikubwa ya madeni, na madeni yake ya jumla yatazidi dola trilioni 31 za kimarekani.

Matumizi makubwa mno ya kijeshi bila shaka yataathiri maendeleo ya uchumi na maisha ya watu. Kulingana na matokeo ya kura za maoni zilizotolewa na vyombo vya habari vya Marekani hivi karibuni, asilimia 69 ya Wamarekani wanaona kuwa nchi yao iko katika mdororo wa kiuchumi, na asilimia 55 ya watu walisema watapoteza kila kitu.

Katika miongo kadhaa iliyopita, Marekani imekuwa nchi yenye bajeti kubwa zaidi ya kijeshi duniani, na matumizi yake ya kijeshi yanachukua takriban asilimia 40 ya matumizi ya jumla ya kijeshi ya nchi zote duniani. Kuanzia mwaka 1789 hadi 2022, Marekani ilifanya vita na operesheni 469 za kijeshi duniani. Katika historia ya zaidi ya miaka 240 ya Marekani, kumekuwa na miaka 16 tu bila ya vita.

Baada ya kumalizika kwa Vita Baridi, Marekani ilitarajiwa kupunguza operesheni zake za kijeshi nje ya nchi, lakini kinyume chake, katika miaka zaidi ya 30 iliyopita Marekani imefanya operesheni zaidi ya mara saba kuliko zamani. Vita vya Marekani vimelenga nchi mbalimbali duniani, haswa nchi za Latin-Amerika, na Afrika.

Baada ya kumalizika kwa Vita Vikuu vya Pili Duniani, ili kutimiza maslahi yake ya kijiografia na kisiasa, Marekani mara kwa mara ilichochea migogoro duniani kwa kutegemea bajeti yake kubwa ya kijeshi. Kwa nyakati tofauti ilianzisha vita vikubwa katika peninsula ya Korea, Vietnam. Iraq, Afghanistan, Libya, Syria na nchi nyingine kadhaa. Mbali na hayo, Marekani pia imechochea migogoro katika nchi nyingi duniani.

Takwimu zinaonesha kuwa takriban theluthi mbili ya mizozo ya hivi sasa duniani inahusisha Marekani. Tangu kutokea kwa mgogoro kati ya Russia na Ukraine, Marekani imetoa silaha nyingi, na kuongeza umwagaji damu kwa kiasi kikubwa. Wakati China ilionesha nia ya kusuluhisha mgogoro huo, Marekani imekataa kabisa, ikijifanya kama mhusika mkuu wa mgogoro huo, na kutaka vita kati ya Russia na Ukraine viendelee mpaka iridhike.
Ingawaje cwapendi wazungu mchina ni shetan mara mbili ya mzungu. Kwa walioishi nao watanielewa.
 
USA wana budget kubwa ya jeshi sababu wananunua vifaa vya kijeshi kutoka kampuni binafsi wanawauzia bei ya juu zaidi ya uhalisia tofauti na russia kampuni za vifaa vya kijeshi ni za serikali
Una uhakika Mzee au unasema tu.
 
Ameshachelewa

Na na tangu mwanzo hakuna ambeye anamzidi kwa bajet ya jeshi dunian
Ndo namba moja muda wore ila hajlijamsaidia kati hii smo ta mrusi

Mwisho wa siku atatumia pesa nyingi kufadhir ukraine na kwingineko
Afu mbabe ababaki russia
Urusi anataman vita iishe ila anaogopa aibu
 
Ingawaje cwapendi wazungu mchina ni shetan mara mbili ya mzungu. Kwa walioishi nao watanielewa.
wachina sio watu wazur hawajui diplomacy wanaamin kweny ubabe si unaona yeye na majiran zake
 
Ingawaje cwapendi wazungu mchina ni shetan mara mbili ya mzungu. Kwa walioishi nao watanielewa.
Wachina wanachoangalia ni kumaximize profit haijalishi in what way.
 
Ameshachelewa

Na na tangu mwanzo hakuna ambeye anamzidi kwa bajet ya jeshi dunian
Ndo namba moja muda wore ila hajlijamsaidia kati hii smo ta mrusi

Mwisho wa siku atatumia pesa nyingi kufadhir ukraine na kwingineko
Afu mbabe ababaki russia
Na zile pesa za wale Ma-Oligarch wa Kiembe samaki ya Urusi
 
View attachment 2579154

Hivi karibuni serikali ya Marekani ilitangaza bajeti ya matumizi ya kijeshi kwa mwaka 2024 ya dola bilioni 842 za kimarekani, ambalo ni ongezeko la asilimia 8.9 ikilinganishwa na mwaka jana. Inakadiriwa kuwa bajeti hiyo ya mwisho itakayoidhinishwa na bunge la nchi hiyo inaweza kuzidi dola bilioni 900 za kimarekani.

Katika miaka ya hivi karibuni, ili kudumisha umwamba wake duniani, Marekani imeendelea kuongeza bajeti yake ya kijeshi. Katika mwaka wa fedha wa 2024, matumizi ya kijeshi ya Marekani ni pamoja na dola bilioni 37.7 kwa ajili ya kuendeleza makombora mapya, ndege ya kimkakati ya kutupa mabomu na silaha za nyuklia, dola bilioni 170 kwa ununuzi wa silaha nyingine za kisasa, na dola bilioni 145 kwa maendeleo ya makombora ya kasi kubwa. Wakati huo huo, serikali ya Marekani tayari imekumbwa na mizigo mikubwa ya madeni, na madeni yake ya jumla yatazidi dola trilioni 31 za kimarekani.

Matumizi makubwa mno ya kijeshi bila shaka yataathiri maendeleo ya uchumi na maisha ya watu. Kulingana na matokeo ya kura za maoni zilizotolewa na vyombo vya habari vya Marekani hivi karibuni, asilimia 69 ya Wamarekani wanaona kuwa nchi yao iko katika mdororo wa kiuchumi, na asilimia 55 ya watu walisema watapoteza kila kitu.

Katika miongo kadhaa iliyopita, Marekani imekuwa nchi yenye bajeti kubwa zaidi ya kijeshi duniani, na matumizi yake ya kijeshi yanachukua takriban asilimia 40 ya matumizi ya jumla ya kijeshi ya nchi zote duniani. Kuanzia mwaka 1789 hadi 2022, Marekani ilifanya vita na operesheni 469 za kijeshi duniani. Katika historia ya zaidi ya miaka 240 ya Marekani, kumekuwa na miaka 16 tu bila ya vita.

Baada ya kumalizika kwa Vita Baridi, Marekani ilitarajiwa kupunguza operesheni zake za kijeshi nje ya nchi, lakini kinyume chake, katika miaka zaidi ya 30 iliyopita Marekani imefanya operesheni zaidi ya mara saba kuliko zamani. Vita vya Marekani vimelenga nchi mbalimbali duniani, haswa nchi za Latin-Amerika, na Afrika.

Baada ya kumalizika kwa Vita Vikuu vya Pili Duniani, ili kutimiza maslahi yake ya kijiografia na kisiasa, Marekani mara kwa mara ilichochea migogoro duniani kwa kutegemea bajeti yake kubwa ya kijeshi. Kwa nyakati tofauti ilianzisha vita vikubwa katika peninsula ya Korea, Vietnam. Iraq, Afghanistan, Libya, Syria na nchi nyingine kadhaa. Mbali na hayo, Marekani pia imechochea migogoro katika nchi nyingi duniani.

Takwimu zinaonesha kuwa takriban theluthi mbili ya mizozo ya hivi sasa duniani inahusisha Marekani. Tangu kutokea kwa mgogoro kati ya Russia na Ukraine, Marekani imetoa silaha nyingi, na kuongeza umwagaji damu kwa kiasi kikubwa. Wakati China ilionesha nia ya kusuluhisha mgogoro huo, Marekani imekataa kabisa, ikijifanya kama mhusika mkuu wa mgogoro huo, na kutaka vita kIKkati ya Russia na Ukraine viendelee mpaka iridhike.
KIKUBWA HAPO NAONA UMETUMWA KUICHAFUA MAREKANI
 
Purchasing power ya USD imeshuka na pia kuna swala la inflation.

Kwa hiyo kuongezeka kwa budget (in numbers) ni swala sahihi kabisa.
 
Marekani ina vituo vya kijeshi (military bases) zaidi ya 700 duniani katika nchi karibia 80.

Unahitaji pesa kuendesha jeshi la ukubwa huu

You are very right.

Unaweza kuongelea swala la budget kubwa kwenye angle mbalimbali.
 
Back
Top Bottom