islander M
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 748
- 2,064
Sasa vituo vyote hivo vya nini si akae ndani ya mipaka yake ......Marekani ina vituo vya kijeshi (military bases) zaidi ya 700 duniani katika nchi karibia 80.
Unahitaji pesa kuendesha jeshi la ukubwa huu
Mimi hutaona nina sambaza vituo vya kijeshi duniani kwa sababu mimi na jeshi langu hatuna uwoga tunajiamini tunaweza piga kokote duniani na hakuna taifa la kutushinda kivita toka zaman za kale so kijana wangu tuliza roho yako isije pasuka buree kwanza agiza gahawa na jtulie mimi ntailipia