Ongezeko la bajeti ya kijeshi ya Marekani latishia amani duniani

USA wana budget kubwa ya jeshi sababu wananunua vifaa vya kijeshi kutoka kampuni binafsi wanawauzia bei ya juu zaidi ya uhalisia tofauti na russia kampuni za vifaa vya kijeshi ni za serikali
 
Ingawaje cwapendi wazungu mchina ni shetan mara mbili ya mzungu. Kwa walioishi nao watanielewa.
 
Una uhakika Mzee au unasema tu.
 
Ameshachelewa

Na na tangu mwanzo hakuna ambeye anamzidi kwa bajet ya jeshi dunian
Ndo namba moja muda wore ila hajlijamsaidia kati hii smo ta mrusi

Mwisho wa siku atatumia pesa nyingi kufadhir ukraine na kwingineko
Afu mbabe ababaki russia
Urusi anataman vita iishe ila anaogopa aibu
 
Ingawaje cwapendi wazungu mchina ni shetan mara mbili ya mzungu. Kwa walioishi nao watanielewa.
wachina sio watu wazur hawajui diplomacy wanaamin kweny ubabe si unaona yeye na majiran zake
 
na ndio maana nauliza mnaona USA ndo ipo kweny hatar sana wakat kweny yapo hayo hayo
Na ndiyo nimekuuliza ikiwa umewahi kukutana na panya road
 
Ingawaje cwapendi wazungu mchina ni shetan mara mbili ya mzungu. Kwa walioishi nao watanielewa.
Wachina wanachoangalia ni kumaximize profit haijalishi in what way.
 
Ameshachelewa

Na na tangu mwanzo hakuna ambeye anamzidi kwa bajet ya jeshi dunian
Ndo namba moja muda wore ila hajlijamsaidia kati hii smo ta mrusi

Mwisho wa siku atatumia pesa nyingi kufadhir ukraine na kwingineko
Afu mbabe ababaki russia
Na zile pesa za wale Ma-Oligarch wa Kiembe samaki ya Urusi
 
KIKUBWA HAPO NAONA UMETUMWA KUICHAFUA MAREKANI
 
Purchasing power ya USD imeshuka na pia kuna swala la inflation.

Kwa hiyo kuongezeka kwa budget (in numbers) ni swala sahihi kabisa.
 
Marekani ina vituo vya kijeshi (military bases) zaidi ya 700 duniani katika nchi karibia 80.

Unahitaji pesa kuendesha jeshi la ukubwa huu

You are very right.

Unaweza kuongelea swala la budget kubwa kwenye angle mbalimbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…