Ongezeko la bei ya mafuta: Je, Bunge lina meno ya kuiwajibisha EWURA?

Huyu jamaa ni kipofu? Ana F ya kuchagua kisu kikali....
Unafikiri angekuwa anatoka na Irene Wolper au Hamisa Mobetto angeingiaje EWURA?🤣

Watu wenye akili wanaangaliaga Potentials zaidi kwenye maisha kuliko urembo ambao mwisho wa siku hauleti maendeleo zaidi ya kuongeza gharama. Mwanamke anaenyoa hana bill za kijinga za upkeep, plus wengi wanajiweza sana upstairs🤣 i guess hutaki pia kugharamia sana tution ili wanao wasome kwa raha.
 
Hatuna Bunge tuna Bonge
 
Unatumia "jargon" nyingi Sana, kwa hiyo, ni aidha elimu yako haikusaidii au unashindwa kujenga hoja vizuri?

Hilo tatizo mpaka waziri wa Nishati amebadilishwa halafu unatoa majibu mepesi tu?.

Tuambie kwanini wauza mafuta wanayaficha halafu siku chache mbele EWURA inatangaza ongezeko la bei ?Kama elimu yako ya uchumi haiwezi kukusaidia kujibu hili pia useme.
 
Kwa hali ilivyo sana Ewura inapangiwa bei na wafanyabiashara.

Rais mstaafu mwenye influence ni mfanyabiashara wa mafuta, anavituo vya rangi ya blue kila baada ya umbali mfupi unakutana na kituo chake cha mafuta
Daaah! Na mkurugenzi wa ewura ni Mme wa Betina( Tulia ambaye ni spika wa kijiwe cha ccm kule Dodoma)
 
Kama wabunge wengi wanajishufhulisha na biashara ya mafuta,

Unaamini hatua stahiki zitachujuliwa?
 
Libya bei ya mafuta kwa Lita ni Tshs 78 kwanini tusinunue huko?

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Yaani Mke amuwajibishe Mumewe?
 
EWURA hawapo hapo kwa sababu ya maslahi ya wafanyabiashara; wapo kwa sababu ya kumlinda mlaji.
Una uhakika mkuu? Kwa hii serikali yenye matobo kila upande una uhakika ewura inakulinda wewe mlaji wa mwisho?
Analeta ngonjera na porojo kwenye maisha ya msingi ya watu ,
 
Sawa mumewe tulia aka Betina
 


“Je, mume akiwa Rais anaruhusiwa kumteua mkewe kuwa judge mkuu?”


Kwa mujibu wa Katiba yetu ya Tanzania tunayotumia sasa, Rais anayo madaraka hayo na zaidi ya hayo.




Kuhusu Bunge kuwashughulikia EWURA, ni sawa na kumtaka mbwa ajing’ate mkia wake mwenyewe.
 
Nakubaliana na ww familia ya Jk inatutesa sana bora mungu angemchukua huyu abunuasi
 
Wale wafuasi wa sisiemu huu ndo muda wa kufunguka Kichwani.....
Neno TISHIO huwa linatumika na watu kama kina Wambura ili kujaziliza kura za hofu kwa chama jambazi
 
Prof. Assad always yupo sahihi kweny hili 👇👇
 

Attachments

  • Screenshot_20230408-204652.jpg
    52.3 KB · Views: 1



Hatari!


Hakuna shaka, hoja iende bungeni, speaker Tulia akae pembeni kwa muda, Bunge liongozwe na Mwenyekiti wa Bunge katika mjadala wa hoja hiyo.

Maslahi ya Taifa kwanza.
 
Ndio shida hilipo; mnafikiria upuuzi kwenye vichwa vyenu contrary to economic facts.

Hakuna mtu anaewajuhumu personally, shida ni poor macroeconomic policy za serikali.
Sasa mtu ambaye alitakiwa aweke, asimamie hizo Sera wakati alipokuwa na dhamana au mamlaka hayo kama hakufanya hivyo tunaweza kusema anawahujumu watu waliompa dhamana ya kuwaongoza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…