Ongezeko la bei ya mafuta: Je, Bunge lina meno ya kuiwajibisha EWURA?

Achana na mbulula huyo,anajifanya yeye ndiyo kaelewq principles za Uchumi kuliko wengine!
 
Ewuraaaa ni mbwa asiye na kichwaa
 
Wenyewe wanafurahi na kuwacheka watanzania ,sisi watanzania tumekuwa wapole sana. Lakini Mwenyezi Mungu,anawaona wadhalimu wote, wanayo kesi ya kujibu siku ya hukumu,duniani ni mapito tu.
Wenzenu wanachukua hatua sasa dhidi ya mafisadi hawa lakini nyie mnangoja mpaka mkifa mdio muende AHERA kulamba asali!!!
Mwenye REMOTE ndio mmiliki wa vituo vya mafuta vya LAKE OIL ambavyo vimetapakaa nchi nzima hivyo wakihodhi mafuta ni lazima bei ya mafuta itapanda!! Je EWURA watavifunga vituo vyake?
 

Hizo variables wanazoweka kwenye hiyo model yao can be influenced by human acts like HORDING OF FUEL which can affect supply hence the price of fuel!!
Huko Njombe bei ya mafuta imefika mpaka shs 7000 kwa litre kwa sababu makampuni ya mafuta kama Lake Oil wameficha mafuta hence affecting supply na bei ya mafuta kupanda!!

Je hapo hakuna JANJA?
 
Siku Mungu akisema imetosha, watu wataondoka huku wamesimama barabarani kama farao wa Misri.

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
 
Bei zinapangwa kwa kuzingatoa ‘cost-plus pricing’ kuanzia kwa mwagizaji mpaka retailers mikoani.

Hizo za bei za shilling 7000 kwa litre sio bei za EWURA ni black market iliyojitokeza kutokana na uhaba uliokuwepo ‘Sasa kama ni uhaba halali au artificial’ that’s a matter of further investigations.
 
Ungetupa mtiririko wa bei yanapo agizwa hadi kufika ni shilingi ngapi then tuone mtiriko wa kodi hivi na ile 100 tayari imekua added per lita?
 
Bei zinapangwa kwa kuzingatoa ‘cost-plus pricing’ kuanzia kwa mwagizaji mpaka retailers mikoani.

Hakuna ubishi juu ya hivo " cost-plus- pricing" kitu kinachogomba na what is included in what you call costs!! Kwavile muagizaji wa mafuta katika costing yake anaweka pia RUSHWA anayowagawia ili apate Kibali cha kuagiza mafuta !! This cost is also passed to the consumer hence escalating fuel prices!
 
Ungetupa mtiririko wa bei yanapo agizwa hadi kufika ni shilingi ngapi then tuone mtiriko wa kodi hivi na ile 100 tayari imekua added per lita?
Ideal ushahidi huo ndio ungefunga mjadala unfortunately mimi sio mwajiriwa huko.

Ila ingependeza kama EWURA wangejibu hilo swali lako.
 
EWURA hawasuki na mambo ya tendering za mafuta, wao ni regulators wa sokoni. Na kwenye kupanga bei wanatumia ushahidi wa receipt za manunuzi from the refinery, shipping costs mpaka yanapofika kwenye maghala.
 
EWURA hawasuki na mambo ya tendering za mafuta, wao ni regulators wa sokoni. Na kwenye kupanga bei wanatumia ushahidi wa receipt za manunuzi from the refinery, shipping costs mpaka yanapofika kwenye maghala.
Whoever is involved in the cost calculations , the cost of CORRUPTION MUST BE IMPUTED right from the tendering process!!
Hizo hizo recepts za manunuzi from wherever must INCLUDE THE COST DUE to corruption!!
Ndio maana Deputy Prime Minister Biteko anashauriwa to dilligently deal with the chronic corruption within the energy sector!
 
Kwa hali ilivyo sana Ewura inapangiwa bei na wafanyabiashara.

Rais mstaafu mwenye influence ni mfanyabiashara wa mafuta, anavituo vya rangi ya blue kila baada ya umbali mfupi unakutana na kituo chake cha mafuta
Duh!
 
Kwa hali ilivyo sana Ewura inapangiwa bei na wafanyabiashara.

Rais mstaafu mwenye influence ni mfanyabiashara wa mafuta, anavituo vya rangi ya blue kila baada ya umbali mfupi unakutana na kituo chake cha mafuta
Nakumbuka waziri wa fedha alipokuwa akifafanua kodi ya sh 100/= kuwekwa kwenye mafuta haya ya magari alisema bei yake inazidi kushuka. Ajabu mwezi August baada tu ya bajeti bei ikapanda na mwezi huu pia.
Najiuliza hiyo kodi ya sh 100/= itakuwaje?
 
Hata kama familia hizo ni kansa ya Taifa?[emoji1787]
Wakifika room wanatucheka maboyaaa wakihesabuu vibunda walivyopigaa kwenye tendaaa walizosign za kununua kwa bei kubwaaa...!
 
Mkuu umenena kwa hekima sana.

Ingawa neno mpumbavu siyo tusi lakini zingatio liangaliwe ktk eneo la kutenda kwa maslahi ya taifa. Tunapima vipi huo utendaji ambapo kila kitu kipo wazi ni maslahi gani wanayazingatia. Taifa halijapewa kipaumbele kwa utendaji wa EWURA

Suala la mgawanyo na uwiano wa mamlaka, ni wazi serikali kuu yaani executives wamepindua mamlaka ya mihimili mingine na kujikusanyia absolute powers dhidi ya mihimili yote mingine. Hata mamlaka inayosemwa ktk Ibara ya 8 ya Katiba kuwa serikali inapewa mamlaka na wananchi imegeuzwa ambapo serikali inajitwalia mamlaka hayo ipendavyo kila muhula wa uchaguzi.

Leo tunashuhudia mamlaka zilizopo chini ya executives zikipewa nguvu zisizostahili zinazobomoa concept ya utawala wa sheria.

Kuna wakati lugha inatumika ni kali na isiyo tusi. Kwa mfano Baba wa Taifa alimuita waziri mkuu wakati huo mzee Cigwiyemisi kuwa ni MUHUNI katika kitabu chake tujisahihishe ... Hivyo inawezekana kabisa mtu aliyeaminiwa na Taifa kusimamia sekta badala ya kufanya kwa weledi akaopt mambo yasiyoadidi wala yasiyoakisi anachopaswa kufanya.

Neno upumbavu siyo tusi mkuu
 
Wakifika room wanatucheka maboyaaa wakihesabuu vibunda walivyopigaa kwenye tendaaa walizosign za kununua kwa bei kubwaaa...!
Halafu chawa wao wanakuja mitandaoni kutetea ujinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…