BigTall
JF-Expert Member
- Mar 9, 2022
- 706
- 1,716
Hoja ya Mdau baada ya tangazo hilo 👇🏻
Awali gharama za hosteli zilikuwa takribani Magufuli & CoICT 800-1,300/= na Mabibo 500-1,000/=. Ongezeko hili kwa wakati mmoja ni mzigo mkubwa kwa mwanafunzi ambaye pia anategemea boom hilo hilo kugharamia malazi, chakula, usafiri na mahitaji ya masomo.
Ombi langu kwa Uongozi wa Chuo ni kulipitia upya ongezeko hili na kuzingatia uwezo halisi wa wanafunzi.
Mhe. Selina Kingalame, tunaomba utufikishie kilio hiki. Pia tunaomba Wizara ya Elimu chini ya Prof. Adolf Mkenda, Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba, Makamu wa Rais Mhe. Ndejembi, na mwisho Rais wetu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, mtusaidie kulitazama suala hili kwa jicho la mwanafunzi.
Tunaomba suluhisho linalolinda ustawi wa mwanafunzi na kuhakikisha gharama za