Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
Kumekuwa na ongeseko la kusikika hotuba za Magufuli huko mitaani.
Katika maeneo niliyo shuhudia nimeona watu wakikusanyika na kutazama au kusikiliza hotuba zilizowahi kutolewa na hayati Magufuli.
Maeneo ya Baa, vijiweni, madukani na nyumbani. Maeneo yote inaposikika sauti ya Magufuli watu huonekana wenye hisia mchanganyiko na kitu cha zaidi ni pale ambapo watu huanza kuchambua maneno ya hitu kama wanavyo chambua maoninya mechi za Moira.
Jambo la kushangaza ni pale wengi huishia kukubaliana huu ya uimara wa kiongozi huyo aliye tangulia mbele za Hali.
Ama kweli Magufuli Bado anaishi mioyoni mwa watu.