Ongezeko la hotuba za Hayati Magufuli mtaani, nini maana yake?

Ongezeko la hotuba za Hayati Magufuli mtaani, nini maana yake?

Nyingine hii hapa. Sauti ya mamlaka na kiboko ya walanguzi na majitu nyoronyoro ya msoga na wapinzani feki. Wakiskia lazima wajifinye kwanza kuhakikisha sio ndoto, kwa msongo wa akili walioishi nao miaka 6 iliyopita nadhani wanaona muda wowote Rais wa kweli anaweza akafufuka hahahahh
 
Kwani Lissu anamuani Allah? Nani amekupa wewe haki ya kulazimisha mambo ya Allah wako kwa kila mtu??
Kwani akilishwa wewe inakuhusu nini??
Ndio tunaskiliza, unasemaje? Tundu la choo sio msaliti tu, ni mtu asiyetii sharti la Allah la mwanaume kula kwa jasho sasa sijui tumuiteje, huko anakokula anawapa nini wanaomlisha?
 
Kumekuwa na ongeseko la kusikika hotuba za Magufuli huko mitaani.

Katika maeneo niliyo shuhudia nimeona watu wakikusanyika na kutazama au kusikiliza hotuba zilizowahi kutolewa na hayati Magufuli.

Maeneo ya Baa, vijiweni, madukani na nyumbani. Maeneo yote inaposikika sauti ya Magufuli watu huonekana wenye hisia mchanganyiko na kitu Cha zaidi ni pale ambapo watu huanza kuchambua maneno ya hitu kama wanavyo chambua maoninya mechi za Moira.

Jambo la kushangaza ni pale wengi huishia kukubaliana huu ya uimara wa kiongozi huyo aliye tangulia mbele za Hali.

Ama kweli Magufuli Bado anaishi mioyoni mwa watu.
Halafu unakuta wale wahuni waliyomuita magufuli mshamba Indio mama anawaamini.
Inauma sana kuona nchi imerudi mfukoni kwa wezi na mafisadi.
 
Hata Mimi leo Kuna boda amenibeba mlio wa simu yake ni Ile mzee anasema "mtu hawezi kuwa msaliti aka survive tu"
 
Kumekuwa na ongeseko la kusikika hotuba za Magufuli huko mitaani.

Katika maeneo niliyo shuhudia nimeona watu wakikusanyika na kutazama au kusikiliza hotuba zilizowahi kutolewa na hayati Magufuli.

Maeneo ya Baa, vijiweni, madukani na nyumbani. Maeneo yote inaposikika sauti ya Magufuli watu huonekana wenye hisia mchanganyiko na kitu Cha zaidi ni pale ambapo watu huanza kuchambua maneno ya hitu kama wanavyo chambua maoninya mechi za Moira.

Jambo la kushangaza ni pale wengi huishia kukubaliana huu ya uimara wa kiongozi huyo aliye tangulia mbele za Hali.

Ama kweli Magufuli Bado anaishi mioyoni mwa watu.
mkuu kuna mabasi yanayotoka mikoani yanaonesha hotuba zake hadi mnafika daresalaam mbaya zaidi kuna wengine unakuta wanasikitika kwenye mabasi hayo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
 
mkuu kuna mabasi yanayotoka mikoani yanaonesha hotuba zake hadi mnafika daresalaam mbaya zaidi kuna wengine unakuta wanasikitika kwenye mabasi hayo[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]
 
Kumekuwa na ongeseko la kusikika hotuba za Magufuli huko mitaani.

Katika maeneo niliyo shuhudia nimeona watu wakikusanyika na kutazama au kusikiliza hotuba zilizowahi kutolewa na hayati Magufuli.

Maeneo ya Baa, vijiweni, madukani na nyumbani. Maeneo yote inaposikika sauti ya Magufuli watu huonekana wenye hisia mchanganyiko na kitu cha zaidi ni pale ambapo watu huanza kuchambua maneno ya hitu kama wanavyo chambua maoninya mechi za Moira.

Jambo la kushangaza ni pale wengi huishia kukubaliana huu ya uimara wa kiongozi huyo aliye tangulia mbele za Hali.

Ama kweli Magufuli Bado anaishi mioyoni mwa watu.
Kamanda alikataa kujiunga na Illuminati na freemasons family. Mapema tu wajanja walijua matamshi ya ku sacrifice yalitoa jibu la moja Kwa moja. Walijua ntakuwa miongoni mwao mimi hapana.
 
Kumekuwa na ongeseko la kusikika hotuba za Magufuli huko mitaani.

Katika maeneo niliyo shuhudia nimeona watu wakikusanyika na kutazama au kusikiliza hotuba zilizowahi kutolewa na hayati Magufuli.

Maeneo ya Baa, vijiweni, madukani na nyumbani. Maeneo yote inaposikika sauti ya Magufuli watu huonekana wenye hisia mchanganyiko na kitu Cha zaidi ni pale ambapo watu huanza kuchambua maneno ya hitu kama wanavyo chambua maoninya mechi za Moira.

Jambo la kushangaza ni pale wengi huishia kukubaliana huu ya uimara wa kiongozi huyo aliye tangulia mbele za Hali.

Ama kweli Magufuli Bado anaishi mioyoni mwa watu.
Unaenda kuhudhuria mkutano wa dunia 'COP27' huko Misri ukitokea Ughaibuni pia wakati unataarifa nyumbani kwako Simba amevunja zizi na kuchukua mifugo 19 na kuila bila utetezi wowote!!!!!

Kinachozungumzwa kwenye mkutano huo utakifuatilia bila kupata mawenge ya kuondokewa na rasirimali yako?

Bado majanga mengine makubwa sana yanainyemelea Tanzania
Majina ya nchi, mikoa, wilaya, kata, vijiji, vitongoji na mitaa pamoja na majina ya watu wenye herufi zifuatazo zimetanda wingu na giza nene
1. B (Laana zenye kuongozwa na nguvu za giza kupitia maagano batili ya kuzimu yatakayo sababisha maafa katika taifa, jamii na familia)
2. K (visasi kwa kukomoana hatimaye maafa)
3. T (majanga, chuki, fitina na usaliti utakaopelekea maafa)
4. Z inanyemelewa na msiba

November 2022-December 2022.....................................Mwanga umepotea ghafla!!!

Historia ya majanga Tanzania
1. Ajali ya treni Kidete-Kilosa/Mpwapwa-1984 (mabehewa yalizama ardhini na abiria kadhaa kupoteza maisha)
2. Ajali ya gari ikihusisha waziri mkuu Edward Moringe Sokoine eneo la Wami-Dakawa ambaye alifariki tarehe 12/4/1984
3. Ajali ya meli MV Bukoba tarehe 21/5/1996 huko ziwa Victoria Mwanza zaidi abiria 894 walipoteza maisha
4. Ajali ya treni Msagali Igandu Dodoma tarehe 24/6/2002 abiria 202 walipoteza maisha
5. Ajali ya treni Mpwapwa Dodoma tarehe 29/3/2009 abiria 6 walipoteza maisha
6. Ajali ya meli MV Spice mkondo wa Nungwi Zanzibar tarehe 10/9/2011 abiria 187 walipoteza maisha
7. Ajali ya meli MV Skagit ikitokea DSM kwenda Zanzibar tarehe 18/7/2012 abiria 145 walipoteza maisha
8. Ajali ya malori mawili Semi-trailer na LM Fusso yaliyogongana uso kwa uso eneo la Konoike njia panda ya KIA, Kilimanjaro, hakuna kifo kilichotokea eneo la tukio ila abiria waliopanda lori moja wapo wapatao 67 walijeruhiwa vibaya na hali zao ni mahututi
9. Ajali ya helikopita kutoka uwanja wa JNIA I tarehe 14/4/2014 ikiwa na abiria makamu wa rais Dr Bilal, waziri ujenzi JPM,, kamanda DSM S.Kova na mkuu mkoa DSM Said Meck Sadick walinusurika lakini ndege iliteketea yote
10. Ajali ya helikopita ikitokea DSM kwenda Ludewa ilipata ajali kwenye msitu wa Selous eneo la Msolwa tarehe 15/10/2015 ambapo mbunge wa Ludewa Deo Filikunjombe alipoteza maisha
11. Ajali ya basi na lori iliyotokea Kisonzo-Iramba Singida tarehe 2/12/2015 ambapo abiria 12 walipoteza maisha na wengine 18 kujeruhiwa vibaya
12. Ajali ya basi lililobeba wanafunzi wakienda kwenye "Study Tour" kutumbukia kwenye mto Marera katika mlima Rhotia, Karatu-Arusha tarehe 6/5/2017 ambapo wanafunzi 32 walipoteza maisha
13. Ajali ya treni ikigongana na basi huko Gungu, manispaa ya Kigoma Ujiji tarehe 6/6/2018 ambapo abiria 10 walipoteza maisha
14. Ajali ya meli MV Nyerere ilizama huko ziwa Victoria mita mita 100 kutoka kwenye gati ikitokea Bugolora Ukerewe kwenda Ukara tarehe 21/9/2018 abiria 224 walipoteza maisha
15. Ajali ya Hiace na lori la Dangote huko mto Mkavu, Mbanja Lindi tarehe 4/7/2019 ambapo gari ndogo ya aboria iligonga trela la lori la Dangote na kusababisha abiria 4 kupoteza maisha
16. Ajali ya wafanyakazi wa AZAM Media tarehe 9/7/2019 eneo la Igunga-Shelui ambapo watu 7 walipoteza maisha wakielekea Chato kushiriki uzinduzi wa hifadhi ya taifa Burigi-Chato
17. Ajali ya lori la mafuta kupinduka Msmvu Morogoro tarehe 10/8/2019 ambapo raia 71 waliokuwa wakigombea kuchota mafuta yaliyomwagika kupoteza maisha huku wengine 70 wakipata majeraha ya kuungua kwa moto (AKA matokeo ya kuchomoa betri)
18. Ajali ya boti iliyobeba abiria 60 huko ziwa Tanganyika ikitokea Sibwesa, kwenda Ikola Katavi ilizama tarehe 30/7/2020 na kusababisha abiria 10 kupoteza maisha huku wengine 50 wakiokolewa kwa shida
19. Ajali ya basi na lori eneo la Malela Kibaoni Mvomero Morogoro tarehe 18/3/2022 abiria 16 walipoteza maisha
20. Ajali ya barabarani ikihusisha magari madogo mawili kugongana uso kwa uso eneo la Soweni Same, Kilimanjaro tarehe 13/10/2022 ambapo abiria wa gari la ofisa uhamiaji KIA wapatao 7 kupoteza maisha
21. Ajali ya ndege shirika la Precision iliyotokea huko ziwa Victoria, Bukoba-Kagera tarehe 6/11/2022 ambapo abiria 19 walipoteza maisha na wengine 24 wakiokolewa
22. Ajali ya ndege ya ATCL aina ya Bombardier 5H-TC 219 iliyokuwa ikitokea Burundi tarehe 31/5/2022 wakati inatua uwanja wa Kigoma iliigonga ndege ndogo aina ya herron na kusababisha "Nosecut" yake kuharibika ambapo abiria 73 waliokuwa na safari za kuendela sehemu zingine wapatao 73 walipelekwa hotelini kwa mapumziko kusubiri taratibu zingine; hakuna majeruhi wala kifo

Maeneo hatarishi kwa ajali (High RisK & Danger Zone)

1. Mlima Mbalizi na Mlima Nyoka Mbeya
2. Kati ya Iramba, Sekenke na Shelui
3. Kati ya Ngasamo Magu na Kisesa Mwanza
4. Kati ya Mkuranga na Lindi
5. Kati ya mto Karanga Moshi na KIA
6. Kati ya Kwa Mrefu na Kikatiti Arusha
7. Kati ya Ruvu na Bwawani Pwani
8. Kati ya Bwawani na Mkambarani Morogoro
8. Kati ya Nane na Msamvu Morogoro
9. Kati ya Mzumbe na Malela Morogoro njia ya Iringa
10. Kati ya Mkundi mwisho na Wami Dakawa
11. Kati ya Kerege Kiwete, Zinga na Kiromo
12. Kati ya Mlandizi na Chalinze

*Kuepusha haya yote ni kumgeukia Mungu aliye hai, kutubu na kurejea katika njia zilizonyoofu
 
Back
Top Bottom