Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 612
- 1,698
naomba ufafanuzi kidogoKumekuwa na ongeseko la kusikika hotuba za Magufuli huko mitaani.
Katika maeneo niliyo shuhudia nimeona watu wakikusanyika na kutazama au kusikiliza hotuba zilizowahi kutolewa na hayati Magufuli.
Maeneo ya Baa, vijiweni, madukani na nyumbani. Maeneo yote inaposikika sauti ya Magufuli watu huonekana wenye hisia mchanganyiko na kitu Cha zaidi ni pale ambapo watu huanza kuchambua maneno ya hitu kama wanavyo chambua maoninya mechi za Moira.
Jambo la kushangaza ni pale wengi huishia kukubaliana huu ya uimara wa kiongozi huyo aliye tangulia mbele za Hali.
Ama kweli Magufuli Bado anaishi mioyoni mwa watu.
watu wapo bize na mambo yaoTemeke hatuna upuuzi huo wa kusikiza maiti.
Kuna wengine ni wahanga watetemeko na vile vile ni wamachinga au wanategemea wamachingaHakuna baya, maana yake inategemea na wanasikiliza kwa sababu ipi. Kuna waliompenda na kuna wasiompenda.
Machinga watampenda kwa uhuru wa kuuza popote na mhanga wa tetemeko atamkumbuka kwa majibu yake alipohitaji msaada.
Weka video tuone. Nimezunguka maeneo mengi sana sijasikia hata sehemu moja watu wakisikiliza hotuba hizoKumekuwa na ongeseko la kusikika hotuba za Magufuli huko mitaani.
Katika maeneo niliyo shuhudia nimeona watu wakikusanyika na kutazama au kusikiliza hotuba zilizowahi kutolewa na hayati Magufuli.
Maeneo ya Baa, vijiweni, madukani na nyumbani. Maeneo yote inaposikika sauti ya Magufuli watu huonekana wenye hisia mchanganyiko na kitu Cha zaidi ni pale ambapo watu huanza kuchambua maneno ya hitu kama wanavyo chambua maoninya mechi za Moira.
Jambo la kushangaza ni pale wengi huishia kukubaliana huu ya uimara wa kiongozi huyo aliye tangulia mbele za Hali.
Ama kweli Magufuli Bado anaishi mioyoni mwa watu.
Mkuu kuna hotuba mpya?, Tafadhali weka hapa tusikie.....Kumekuwa na ongeseko la kusikika hotuba za Magufuli huko mitaani.
Katika maeneo niliyo shuhudia nimeona watu wakikusanyika na kutazama au kusikiliza hotuba zilizowahi kutolewa na hayati Magufuli.
Maeneo ya Baa, vijiweni, madukani na nyumbani. Maeneo yote inaposikika sauti ya Magufuli watu huonekana wenye hisia mchanganyiko na kitu Cha zaidi ni pale ambapo watu huanza kuchambua maneno ya hitu kama wanavyo chambua maoninya mechi za Moira.
Jambo la kushangaza ni pale wengi huishia kukubaliana huu ya uimara wa kiongozi huyo aliye tangulia mbele za Hali.
Ama kweli Magufuli Bado anaishi mioyoni mwa watu.
Wahamiaji haramu ndio wasikilizaji wakuu wa j,mizi.naomba ufafanuzi kidogo
Lengo lako la kutembelea hayo maeneo lilikuwa nini?
umetembelea maeneo/na vijiwe vingapi mpaka unakuja kuandika hapa (kama ni bar ngapi, vijiwe vingapi)
ulivichaguaje hivy vijiwe/ sample uliipataje?
uliokuta wana sikiliza ni watu wa rika gani hasa? jinsia, elimu na shughuli zao
ukiyajibu hayo tuendelee na mjadala sasa
Anaishi had leoKumekuwa na ongeseko la kusikika hotuba za Magufuli huko mitaani.
Katika maeneo niliyo shuhudia nimeona watu wakikusanyika na kutazama au kusikiliza hotuba zilizowahi kutolewa na hayati Magufuli.
Maeneo ya Baa, vijiweni, madukani na nyumbani. Maeneo yote inaposikika sauti ya Magufuli watu huonekana wenye hisia mchanganyiko na kitu Cha zaidi ni pale ambapo watu huanza kuchambua maneno ya hitu kama wanavyo chambua maoninya mechi za Moira.
Jambo la kushangaza ni pale wengi huishia kukubaliana huu ya uimara wa kiongozi huyo aliye tangulia mbele za Hali.
Ama kweli Magufuli Bado anaishi mioyoni mwa watu.
Tuondolee kichefuchefu. Mama kamfunika jiwe vibaya sanaKumekuwa na ongeseko la kusikika hotuba za Magufuli huko mitaani.
Katika maeneo niliyo shuhudia nimeona watu wakikusanyika na kutazama au kusikiliza hotuba zilizowahi kutolewa na hayati Magufuli.
Maeneo ya Baa, vijiweni, madukani na nyumbani. Maeneo yote inaposikika sauti ya Magufuli watu huonekana wenye hisia mchanganyiko na kitu Cha zaidi ni pale ambapo watu huanza kuchambua maneno ya hitu kama wanavyo chambua maoninya mechi za Moira.
Jambo la kushangaza ni pale wengi huishia kukubaliana huu ya uimara wa kiongozi huyo aliye tangulia mbele za Hali.
Ama kweli Magufuli Bado anaishi mioyoni mwa watu.
Ndio tunaskiliza, unasemaje? Tundu la choo sio msaliti tu, ni mtu asiyetii sharti la Allah la mwanaume kula kwa jasho sasa sijui tumuiteje, huko anakokula anawapa nini wanaomlisha?Ile hotuba aliyosema TUNDU LISU ni msaliti apigwe risasi nayo mnasikiliza?
Ile hotuba aliyosema madiwani wa Dar hawakuchaguliwa na wananchi aliwachagua yeye nayo mnasikiliza?!
KabisaKuna wengine ni wahanga watetemeko na vile vile ni wamachinga au wanategemea wamachinga
Hata jpm alikua hahudhurii misiba ....labda umesahauWamechoka tu kuwa wa viongozi wanaohudhuria makongamano wakati nyumbani wameacha msiba.