Ongezeko la hotuba za Hayati Magufuli mtaani, nini maana yake?

Mhumbili na moi kichaka cha mafisadi ndio maana pale pesa mbele hata maiti wanaidai malipo, na pale mhumbili kuna kichaka cha walimuua mpendwa JPM
 

Hotuba ipi, ile ya watu wabaki na mavi yao nyumbani?
 
Hata mimi ukinitengenezea video clips nikiwa nacheza mpira utaniona bonge la mchezaji.
 
Mbona mimi sijasikia
 
[emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115][emoji115]View attachment 2410229
JPM hakua Rais wa kawaida. Li-nchi la mazezeta kama hili letu halikua tayari kwa rais kama huyu na wala halikumstahili. Ndio mana wabaya wake walifanikiwa kumuwinda. Mungu amrehemu, soon atakuja wa kufanana nae kidogo.
 
kiongozi aliyetangulia kuzimu. Haki ya nani, ningekuwa karibu na lile kaburi ningejisaidia haja kubwa juu ya kaburi lake.
 
Mi nimeshuhudia sehemu moja watu wanatoa 500 kwa hotuba kuwekewa kwenye flash na memory card. Zinazouzika zaidi ni alizoongelea umeme
 
Kasome uboreshe cheti chako sio unamchukia alie kutumbua kwa cheti cha magumashi
kiongozi aliyetangulia kuzimu. Haki ya nani, ningekuwa karibu na lile kaburi ningejisaidia haja kubwa juu ya kaburi lake.
 
Mimi namkumbuka kwa kufunga watu hovyo, kuua, kufungia akaunti za benki kwa uonevu, kuteka nyara,kufilisi
 
Maana yake wanatukumbusha kua kakufa awezi kafufuka tena.
 
Alikuwa mzalendo sana. Pamoja na kuwa wanaendelea kupigana naye vita wakati yeye hayupo, ila mpaka sasa wameshindwa kabisa. Na kibaya Dkt Magufuli hakuwahi kusimamia jambo likashindikana alipokuwa hai na mpaka sasa pmoja na kutokuwepo kwake falsafa zake zinaishi na watanzania wengi wanaamini ndiyo muelekeo sahihi kiasi kwamba tutegemee kuja kupata kiongozi kama Dkt Magufuli.
 
Ile hotuba aliyosema TUNDU LISU ni msaliti apigwe risasi nayo mnasikiliza?

Ile hotuba aliyosema madiwani wa Dar hawakuchaguliwa na wananchi aliwachagua yeye nayo mnasikiliza?!
Hivi ile hotuba ya kutaka kumpanua mama wa watu kule Morogoro pia wana sikiliza?
Na ile ya kumuozesha mama yake mzazi baada ya kupewa kajogoo?
Na ile ya kumtumbua mtu kisha kapata kitete kuapa?

That guy had no moral audacity!! Na wanaomshabikia nao wapo hivyo!
🚮🚮❌❌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…