babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Mke wangu ana tattoo ya paka,chui,simba na hana abari hana hata tatoo moja ya mwanae wala yangu. Na maisha yanaendelea
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mke wangu ana tattoo ya paka,chui,simba na hana abari hana hata tatoo moja ya mwanae wala yangu. Na maisha yanaendelea
Mkuu jifunze kuheshimu mchango wa mawazo ya mtu. Kwanini afikirie mambo uliyoorodhesha hapo wakati hayo kuna Mamlaka zipo na zinaweza kuyasimamia ?Kwa nini unataka kupangia watu baki jinsi ya kuishi?
Mtu mwili wake, kaamua kuchora tattoo kivyake, wewe unajiwekaje ukiranja wa kumpangia afanya na asifanye nini?
Unamlinda mtu kivipi ukimzuia asichore tattoo?
Yani kama mtu anakwenda kuwa na mawazo mabaya ukimzuia asichore tattoo ndiyo hayo mawazo mabaya yatashindwa kumuingia?
Kwa nini unajiona wewe una wajibu wa kuwapangia watu baki nini ni sawa wafanye na nini si sawa wasifanye?
Wewe mtu ambaye nchi yako ina matatizo ya chakula, malazi, mavazi, elimu, magonjwa, kazi, na mengine kemkem, mighorofa inaanguka na kuua watu huko Kariakoo, watu wanakufa kwa kipindupindu Simiyu, maana yake wanakunywa maji yenye mavi ya watu, hivi tattoo ndiyo umeona ni tatizo kubwa kabisa la kulivalia njuga?
Kweli jamani? Tattoo?
Kwa nini mtu akiamua kujiwekea tattoo kwenye mwili wake ni jambo baya?Mkuu jifunze kuheshimu mchango wa mawazo ya mtu. Kwanini afikirie mambo uliyoorodhesha hapo wakati hayo kuna Mamlaka zipo na zinaweza kuyasimamia ?
Hili la tatoo nalo lijadiliwe aisee.
Watanzania wengi hawajui maana ya uhuru.Mwamba angekuwepo hapa angekuwa anawaangalia anacheka tu hiiii
View attachment 3161642
Umeenda club,kwenye madanguro na makasino,......baaasi una fikia muafaka kua mabinti wengi wapo hivo?.......this is fallac of generalizationHabari ndugu wana jamvi,
Leo nimekuja na jambo ambalo linaweza kunipa wasiwàsi kwa namna moja au nyingine.
Kama jamii hivi Sasa ,kumekuwa na wimbi kubwa La wadada ,wasichana na wanawake kujichora tatoo Katika miili Yao.
Na tattoo hizo mara nyingi uchorwa sehemu ambazo inakuwa rahisi kwa MTu kuweza kuiona.
Jambo ilo baadhi yetu tumeliona kamq tishio kwa makuzi na kizazi kijacho ,kuona tattoo ni sehemu ya furaha,urembo ,na lazima Katika miili yao.
Biła kujali hasara za tattoo hizo, mabinti WENGI wamekuwa wakichora kila uchwao.
Siingilii uamuzi ,wała furaha ya MTu Bali najaribu kuona je tunawezqje kuwalinda watoto wadogo na aina Hii ya makuzi wakiwa wanajionea walezi,mama ZAO,Dada NK wakiwa wamejichora.
Asanteni wanajamvi🙏🏿
Anachunga nini Mkuu?Huyu nasikia eti ni Mchungaji, Kweli Ujana ni UTAPELI 😆😆😆
View attachment 3161615View attachment 3161616
Tempo tatoo kama ina haina tatizo ukitaka unaifuta, ila ile permanent ni kimeo.Almanusura nimchore mtoto wa mtu kwenye paja, nakumbuka mchora tattoo kaja yeye kachora imefika zamu yangu roho ikakataa, nashukuru sana uamuzi ule japo bado tupo wote lakini naifikiria sana kesho kutwa yangu,
Mdau aliyesema ni generation yao yuko sahihi kila zama na vituko vyake, huenda ikafika kipindi asiye na tattoo anatengwa 😂
Na masanamu?Leviticus 19:28
"You shall not make any cuts on your body [in mourning] for the dead, nor make any tattoo marks on yourselves; I am the LORD". This passage prohibits tattoos, likely because they were associated with pagan practices.