Ongezeko la mashoga ni laana kwa taifa au athari ya utandawazi?

Ongezeko la mashoga ni laana kwa taifa au athari ya utandawazi?

Waziri wa madini

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2019
Posts
379
Reaction score
466
Kumekuwa na kukithiri kwa tatizo la ushoga ktk jamii yetu licha ya viongozi wa dini na serikali kufanya jitihada za kukemea matendo hayo,lakini kila uchwao ktk mitandao na ktk jamii vijana mashoga(sio ridhki )wamekuwa wakiongezeka tena kwa kujitangaza na kujivunia ushoga wao.

Nafikiri wakati ufike kama watanzania jamii na serikali tuwekeze nguvu ktk kutokomeza janga hili kama tulivyofanikiwa ktk mifuko ya Rambo tuanzishe kampeni tokemeza ushoga japo changamoto imekuwa kubwa sababu kuna baadhi ya viongozi wa dini na serikali nawao wanahusika ktk jamii hizi lakini tukitaka kumuua nyani tusimtazame usoni wakati umefika tukemee matendo haya machafu ambayo ni laana inayopewa sapoti na kugeuzwa kuwa fursa hasa mitandaoni.

Kila mmoja ajiulize mwanao angekuwa hivyo ungejiskiaje? Hiyo ni lana ya taifa na ni athari ya utandawazi#kemea ushoga popote ulipo kanisa ni, msikitini, shuleni, serikalini, mitandaoni.
 
Kwakweli hata mimi nashangaa sana ..cha ajabu kuna baadhi ya madhehebu ya dini yanaunga mkono swala hili wakati limewekwa wazi kabisa katika vitabu vya dini.sasa sielewi inamaana wanapingana na biblical theory of creation ambayo inaeleza wazi kuhusu dhumuni la uumbaji
 
Jamii zao inaweza kuwa sawa ila kwetu sisi si sawa ili vijana wetu wasizidi kupotea nini kifanyike?
 
Tatizo nadhani tunajitahidi kuishi katika tamaduni za wazungu wakati hatuna miundombinuya kizungu
Zamani mtoto wakiume alikuwa anapewa misingi ya uanaume.yani ukionekana unafanya mabo mengi ambayo ni majukumu ya mtoto wa kike unapata tabu sana..lakini siku hizi malezi na utamaduni tunaoiga imekuwa changamoto kukwepa tatizo hili.nadhani kwenye malezi kwa ujumla kuna tatizo
 
......Enzi zile nikitawazwa bimkubwa anakunja sura, ndomna nawashangaa mnaowavua wenzenu kaptula.
 
Tatizo nadhani tunajitahidi kuishi katika tamaduni za wazungu wakati hatuna miundombinuya kizungu
Zamani mtoto wakiume alikuwa anapewa misingi ya uanaume.yani ukionekana unafanya mabo mengi ambayo ni majukumu ya mtoto wa kike unapata tabu sana..lakini siku hizi malezi na utamaduni tunaoiga imekuwa changamoto kukwepa tatizo hili.nadhani kwenye malezi kwa ujumla kuna tatizo
Fact.
 
Tukitokomeza na Wafiraji Ushoga utapungua kama sio kuisha

Wanaoharibu vijana tunaishi nao na kucheka nao, tunaelekza nguvu na lawama kubwa kwa wanaoharibiwa badala ya kushambulia ‘Mbu’ na ‘Mazalia ‘ ya Mbu kwa pamoja

Ni sawa na Vita ya Rushwa, ukikazana kukamata wapokea Rushwa bila ya kusumbua pia watoaji kazi inakuwa kubwa
 
Jamii, serikali na viongozi wa dini wamekuwa wazito kulikemea na kuliongerea ilo swala kiuwazi kwenye jamii zetu labda kutoka na tamaduni zetu, ila kiuhalisia hali ni mbaya huko mitaani kwetu. Tusipoangalia tutakujakushtuka tushakuwa kama sodoma na gomola
 
Tufanye mambo ya msingi mashoga walikuwepo tangu enzi za sodoma na gomora, ukitaka kuwatokomeza utaishia kuleta madhara ambayo kimsingi yanaweza pia yakaliathiri taifa hasa ki mahusiano na mataifa makubwa ya nje.
Huwezi kumbadilisha shoga akawa mwanaume rijali sasa kwanini kujisumbua achana nao fanya yako.
 
Back
Top Bottom