StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 4,153
- 4,301
Tuwaunganishe watoto wetu na Mungu muumba wetu ili utashi wao wa kujua mema na mabaya uwe active muda wote.Wawe na nguvu na uwezo wa kukimbia maovu automatically.
Wengine wanasema bording schools zinachangia,wengine malezi ya wazazi lakini tufanye nini kuzuia?hilo ndio lamsingi