Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,355
- 4,476
Naomba apunge mkono asalimie mashabiki
Kuna mkuu mmoja wa jiji la maraha nahisi ni shoga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mkuu mmoja wa jiji la maraha nahisi ni shoga
Tufanye mambo ya msingi mashoga walikuwepo tangu enzi za sodoma na gomora, ukitaka kuwatokomeza utaishia kuleta madhara ambayo kimsingi yanaweza pia yakaliathiri taifa hasa ki mahusiano na mataifa makubwa ya nje.
Huwezi kumbadilisha shoga akawa mwanaume rijali sasa kwanini kujisumbua achana nao fanya yako.
We ni shoga kabisa utakuwa unaliwa kiboga we mpuuzi yaani jamaa kasema jambo lenye impact we unasema awaache ?Tufanye mambo ya msingi mashoga walikuwepo tangu enzi za sodoma na gomora, ukitaka kuwatokomeza utaishia kuleta madhara ambayo kimsingi yanaweza pia yakaliathiri taifa hasa ki mahusiano na mataifa makubwa ya nje.
Huwezi kumbadilisha shoga akawa mwanaume rijali sasa kwanini kujisumbua achana nao fanya yako.
mawazo yako mazuri ila tutawajuaje?wale mashoga wanadalili zao .Tukitokomeza na Wafiraji Ushoga utapungua kama sio kuisha
Wanaoharibu vijana tunaishi nao na kucheka nao, tunaelekza nguvu na lawama kubwa kwa wanaoharibiwa badala ya kushambulia ‘Mbu’ na ‘Mazalia ‘ ya Mbu kwa pamoja
Ni sawa na Vita ya Rushwa, ukikazana kukamata wapokea Rushwa bila ya kusumbua pia watoaji kazi inakuwa kubwa
Chakula cha kienyeji ni kipi ?Mimi nahisi vyakula pia vinachangia
Mtu Chakula chake kikubwa ni chakisasa nadhani hata mjegejo atakao utoa utakua wakifedhuri tu nakuishia kua shoga
[emoji23][emoji23]unamuona Kuku wakienyeji anavyotafuta ChakulaChakula cha kienyeji ni kipi ?
Naona amekugusa mkuu, pole sana!
Hapana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]unamuona Kuku wakienyeji anavyotafuta Chakula
😂😂😂ishi kama Kuku wakienyejiHapana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa mzee baba[emoji23][emoji23][emoji23]ishi kama Kuku wakienyeji
Kaa utambue kwamba unaweza usiwe shoga ila ukawa na tabia ya kumfira mkeo au mpenzi wako,tambua maandiko matakatifu kutoka kwenye kitabu cha WAKORINTHO kinasema hivi
"Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti"
TAFAKARI NJIA ZAKO ILI UHURITHI UZIMA WA MILELE
Hizo boarding schools zilikuwepo tangu utawala wa Mwl Nyerere. Mbona wanafunzi wa wakati huo ambao kwa sasa wengine ni vigogo serikalini hawakuwa wanaswekana mipini ?Wengine wanasema bording schools zinachangia,wengine malezi ya wazazi lakini tufanye nini kuzuia?hilo ndio lamsingi
Dhambi yoyote inakimbiwa kwa mtu kuwa na hofu ya Mungu moyoni mwake.Asipoamua kwa hiari yake kuwa na hofu ya Mungu muumba wake ni wazi kwamba HAKUNA ATAKACHOKIHOFIA.Kumekuwa na kukithiri kwa tatizo la ushoga ktk jamii yetu licha ya viongozi wa dini na serikali kufanya jitihada za kukemea matendo hayo,lakini kila uchwao ktk mitandao na ktk jamii vijana mashoga(sio ridhki )wamekuwa wakiongezeka tena kwa kujitangaza na kujivunia ushoga wao.Nafikiri wakati ufike kama watanzania jamii na serikali tuwekeze nguvu ktk kutokomeza janga hili kama tulivyofanikiwa ktk mifuko ya Rambo tuanzishe kampeni tokemeza ushoga japo changamoto imekuwa kubwa sababu kuna baadhi ya viongozi wa dini na serikali nawao wanahusika ktk jamii hizi lakini tukitaka kumuua nyani tusimtazame usoni wakati umefika tukemee matendo haya machafu ambayo ni laana inayopewa sapoti na kugeuzwa kuwa fursa hasa mitandaoni.Kila mmoja ajiulize mwanao angekuwa hivyo ungejiskiaje?huo ni lana ya taifa na ni athari ya utandawazi#kemea ushoga popote ulipo kanisa ni,msikitini,shuleni, serikalini,mitandaoni.
Ukiona hivyo ujue hiyo ni miongoni mwa ajenda muhimu ya dhehebu hilo vinginevyo jambo hilo lingekemewa na kupingwa vikaliKwakweli hata mimi nashangaa sana ..cha ajabu kuna baadhi ya madhehebu ya dini yanaunga mkono swala hili wakati limewekwa wazi kabisa katika vitabu vya dini.sasa sielewi inamaana wanapingana na biblical theory of creation ambayo inaeleza wazi kuhusu dhumuni la uumbaji