Ongezeko la mfedhehesho wa Mahusiano ya Mitandaoni

Ongezeko la mfedhehesho wa Mahusiano ya Mitandaoni

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
25,725
Reaction score
78,589
Picha inaanziaga hapa unakuta ndani ya Mahusiano hayo Mwanamke mmoja kutembea na Wanaume wengii ndani ya Huohuo mtandaojamii.

Au mwanaume mmoja kutembea na wanawake weeengi humohumo ndani ...

Hii kitu Athari yake huja hasa baada ya Kuachana na mtu yule au yule au huyu nambaya zaidi ukute YULE MTU NI MPUMBAVU,HANA AKILI KICHWANI....Utafedheheshwa sana, Utaumizwa sana, utalia sanaaa n.k !!.

Kwa Bahati mbaya Wahanga wa Mapenzi haya ya Mitandaoni huwa ni Wanawake !!! Ndio wanawake !!.

Inawezekana Umewah kua Mtendaji au Mtendwa wa mambo haya, au tu nishahidi kupitia kinachoendelea mitandaoni, Ukiingia kule Twita, aiseee watu wanaabishwaaa, wanafedheheshwa sanaaaaa .

Chanzo cha Haya yote nini?

[emoji117]Demu ameachwa, anaona atoke na jamaa mwengine ili amkomoe na zaidi anajiweka wazi aonekane kua amepata bwana... Anasahau kua Ex Boy wake ni Mpumbavu hana akili.

[emoji117]Jamaa ni Muhuni mtu wa madem na kuacha, sasa demu mmoja kaamua kumlipua ..... Ndio wakati mwingine hii inakujaga kuwakoa wengine ambao nao walikua kwa Foleni .

[emoji117]na Kwakua kila mmoja anamapicha ya utupu ya mwenzake, basi hapo ndio Radhi humwaga.( Zingatia). Hapa siwalaumu wanawake sana, Ni sababu tu wanawake wakishampenda mtu, hugeuka kua Vipofu nakufanya vile wanavyoagizwa, nasio kwamba Sijui Hajiheshim wala nn. Noooo ni sababu amekuamin.

Asilimia kubwa ya watu wa aina hii ya mahusiano, hukutana na kulana kimasihara tu, sijui km huwa kuna matumizi ya kondomu au kupima afya n.k ( wanajua wao )...

Sio kila kitu unachokifanya mitandaoni hasa maisha yako ya mahusiano lazima ukitafutie Attention kwa watu , et uwaonyeshe watu umepata Bwana fulani, umeachana na Fulani umepata Fulani, wacha watu wajue .

Kumbuka kuna watu wana mafaili yako ,wanakungoja uharibu tu .

[emoji117]Sema na wanaume tuache Upumbavu, ndio nasema niupumbavu kwa sababu, Unakuta mtu umemtongoza mwanamke kakukubalia, baada ya kwenda naye siku kadhaa, unamtema, unampotezea kabisaa, unamgeuza adui,, hiii kitu imefanya wanawake wengi wawe na mateso ya kihisia , Akikuhofia utakuja kumuharibiaa, basi Mdada wawatu inamlazimu kuishi miyon akiugulia.

#Self Respect ...ndio Ufunguo!.
 
Mkuu ma file ya kila mtu humu hutunzwa usijisahaulishe, kuna demu mlizinguana humu akawa anakushambulia na wenzake, japo ulimuonya sana alizidi kutema nyongo...ukamalizia kwa kutuma mipicha yake mkalimwa ban naye akabadili id mazima.
Aisee hio story ilitokeaga lini huwa naisikia tu humu juu juu ila inasemekana eti kuna watu waliuza utu humu na ni members🤣😂😂
 
Ilikuwa kati ya 2018 na 2019 hivi, kipindi hicho mambo yalikuwa moto, akina ngabu, fisadi kuu, mamasabrina nk
Dah itakuwa kipindi ambacho nilikuwa busy busy inaonekana kuna malaya walipostiwa humu wakaanza kubadili badili ID na baadae kukimbia kabisa jukwaa la mapenzi na mahusiano😂 maana kuna mmoja aliwahi niuliza uliziona zile picha nikasema ndio ghafla akaanza kunikwepa hata kuchat na mm hataki!
 
Dah itakuwa kipindi ambacho nilikuwa busy busy inaonekana kuna malaya walipostiwa humu wakaanza kubadili badili ID na baadae kukimbia kabisa jukwaa la mapenzi na mahusiano[emoji23] maana kuna mmoja aliwahi niuliza uliziona zile picha nikasema ndio ghafla akaanza kunikwepa hata kuchat na mm hataki!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]we faller sana.
Wanabadili ids lkn bado twawafahamu
 
Back
Top Bottom