Don Moen
JF-Expert Member
- Nov 12, 2020
- 1,636
- 3,142
Ilikuwaje ulipewa ban ndefu sana E?Mi sikuwepo aseee ndio naona hapa, irudiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ilikuwaje ulipewa ban ndefu sana E?Mi sikuwepo aseee ndio naona hapa, irudiwe
Hapo sasaNdio maana kujenga mahusiano na watu wa mtandaoni huwa ni hatari wengi wamevurugwa na maisha na stress why kuzalilishana ka mlishaachana.
Mtandao watu Wana akili za ajabu sana Hadi unashangaa sijui vile tumetoka from different backgroundHapo sasa
Ok..Wewe pia unaweza kua mmoja ya WATU WAPUMBAVU.
Yule demu hakua mpenzi wangu..uzi huuu nmeandika kuhusu Watu wawili wapenzi wanaoachana kwa sababu zao nakuishia kufedheheshana.
Pia yule demu aliyafaham maisha yangu kiasi fulani.namm nikayafaham yake.
Hatukuwah kua wapenzi, ila kuna namna fulan ilitokea tu .
SIKU AKIWA NA WENZAKE, ALIVUKA MIPAKA..
[emoji117][emoji117]KUTUMIA MAISHA YANGU ANAVYOYAFAHAM ,KUYAWEKA WAZI KWA WATU AMBAO HAWATAKIWI KUYAJUA.
Nilijitahidi kumuonya, hakuelewa, nikamuonya ndokwanzaaa, analeta vmaneno mengi.
[emoji101]NIKAAMUA KUMNYAMAZISHA KWA ILE PIC , NA WALA SIJAWAH KUJUTIA KUFANYA VILE.
Nkm angeendelea maujinga ,namm ningefanya maujinga mengi yake.
Yeye hakua mwanamke wakwanza kufahamiana namm humu nanje..nahatokua wamwisho pia , nitaendelea kufahamiana nao sana .
Niliamua kumtreat kwa mizani sawa na Mwanaume yaan km ni Jamaa ndie ananiletea ujinga...( sasa maisha yangu huwa hayaruhusu mtu kunipa tabu, nimaisha binafsi ambayo UWE NI MWANAMKE, UWE NI MWANAUME, NI LAZIMA UYAHESHIMU ) ...kinyume nahapo tunaenda" Kichwa ---Kichwa"....... Huyo ndio Mimi, ndivyo Nilivyo.
Haya, Una lakusema ???.
Sawa.na hao unawaonya wanaenda kichwa kichwa na wenzao,huwajibiki kuwaonya...since ushawahi kufanya hayo hayo unayokataza
Mtandao watu Wana akili za ajabu sana Hadi unashangaa sijui vile tumetoka from different background
Mshikaji kaposti demu wake mwamba mwingine kaibuka kasema memkula a week ago, katuma selfie zao, chattings na video, kidumu kitengo cha ngono AfrikaKimetokea Nini huko twirani jamani?
Duh hatari sana ila huyo aliyetangaza kumla hajatumia busara ukute alipewa tunda kimasihara.Mshikaji kaposti demu wake mwamba mwingine kaibuka kasema memkula a week ago, katuma selfie zao, chattings na video, kidumu kitengo cha ngono Afrika
Mshikaji kaposti demu wake mwamba mwingine kaibuka kasema memkula a week ago, katuma selfie zao, chattings na video, kidumu kitengo cha ngono Afrika
wakati mwengine, ndio maana ni ngumu kumpost mtuMshikaji kaposti demu wake mwamba mwingine kaibuka kasema memkula a week ago, katuma selfie zao, chattings na video, kidumu kitengo cha ngono Afrika
Pia ni kutokujitambua inasababisha Sasa ukishampost hivo huyo mwanamke kumzalilisha kipi ambacho huwa Wana gain. Ni kuwa makini tu maana watu wengine wako so immature na kujiandaa kwa lolote tu maana kuzalilishana naona ni sifa na inabidi ndugu jamaa wazoee tu, pia wanawake yatupasa kuwa makini kutuma mipicha ya uchi waweza achana na mjuba akasambaza, ujue watu wengine kuharibia wengine huwapa faraja lohHakuna cha kutoka mazingiratofauti cariha..ni kutokuwa mstaarabu na pia mtu anakuwa hana cha kupoteza nakwambia tena.
Una familia,ndugu,unamarafiki wa maana wenye heshima zao..sidhani kama unaweza kufanya kitu bila kufikiria mara mbili aiseh
Huko tunapost Mapicha yetu alaaaahHuu mtandao wa Twitter huwa nausikia sikia tu,hapa najiuliza je upo kama huu wa jf au ? Inaonekana huko kujuana ni rahisi sana.
Nimekuelewa uzuri.Huko tunapost Mapicha yetu alaaaah
Kule hamna kujificha fichaa kama humu
Ila sasa, Watu wanapigana miti kulee, wakiachanaa sasa ni Vurugu
Kuna Mwamba, alivuruga mademu Tisa, alafu akaoa mwingine wa kumi[emoji23][emoji23][emoji23]
Na wote wakajijua wamevurugwa na muhun...ebwanaaaa hiyo vita yake sasa
Pia ni kutokujitambua inasababisha Sasa ukishampost hivo huyo mwanamke kumzalilisha kipi ambacho huwa Wana gain. Ni kuwa makini tu maana watu wengine wako so immature na kujiandaa kwa lolote tu maana kuzalilishana naona ni sifa na inabidi ndugu jamaa wazoee tu, pia wanawake yatupasa kuwa makini kutuma mipicha ya uchi waweza achana na mjuba akasambaza, ujue watu wengine kuharibia wengine huwapa faraja loh
Ni shida sana na bahati mbaya watanzania majority kwa Sasa ni sadist hufurahia wengine wakiharibikiwa na wengine kukua mazingira ya kukosa Upendo na Utu huwafanya wawe wabinafsi so the only solution ya wao ku heal hyo hali wanafikiria kuumiza wengine.umemalizia vyema Cariha,watu wengine kuharibia wengine ni faraja,its very sad watu wa hivi hawakulelewa kwa upendo,...wamekuwa wakiamini hakuna anayewapenda au atakayewapenda kujeruhi wengine ni anytime..sababu experience zao hasa utotoni zimewafanya wamekua less senstive.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]naunga mkono hojaMzee baba huu mkasa ulinipita naomba urudiwee...urudiwee [emoji23][emoji23][emoji23]
Aise hali ni mbaya..hivi mtu unawezaje kuambiwa babe nitumie picha zako za utupuw nawe ukakubali jamani 🙆♀️🙆♀️Yatupasa tuwe makini zaidiPia ni kutokujitambua inasababisha Sasa ukishampost hivo huyo mwanamke kumzalilisha kipi ambacho huwa Wana gain. Ni kuwa makini tu maana watu wengine wako so immature na kujiandaa kwa lolote tu maana kuzalilishana naona ni sifa na inabidi ndugu jamaa wazoee tu, pia wanawake yatupasa kuwa makini kutuma mipicha ya uchi waweza achana na mjuba akasambaza, ujue watu wengine kuharibia wengine huwapa faraja loh
Nlikua tu out of jf kama miaka miwili hiviIlikuwaje ulipewa ban ndefu sana E?