Ongezeko la mfedhehesho wa Mahusiano ya Mitandaoni

Ongezeko la mfedhehesho wa Mahusiano ya Mitandaoni

Dah itakuwa kipindi ambacho nilikuwa busy busy inaonekana kuna malaya walipostiwa humu wakaanza kubadili badili ID na baadae kukimbia kabisa jukwaa la mapenzi na mahusiano[emoji23] maana kuna mmoja aliwahi niuliza uliziona zile picha nikasema ndio ghafla akaanza kunikwepa hata kuchat na mm hataki!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]

Haaaaahaaaa

Evelyn Salt
 
Ni shida sana na bahati mbaya watanzania majority kwa Sasa ni sadist hufurahia wengine wakiharibikiwa na wengine kukua mazingira ya kukosa Upendo na Utu huwafanya wawe wabinafsi so the only solution ya wao ku heal hyo hali wanafikiria kuumiza wengine.
Tuwe makini tusiwaamini watu na kujiachis kupitiliza Hadi watujue maana wengi huja kutuumiza
lakini mara nyingi consequences za jambo lolote ni juu yako wewe mwenyewe
 
Picha inaanziaga hapa unakuta ndani ya Mahusiano hayo Mwanamke mmoja kutembea na Wanaume wengii ndani ya Huohuo mtandaojamii.

Au mwanaume mmoja kutembea na wanawake weeengi humohumo ndani ...

Hii kitu Athari yake huja hasa baada ya Kuachana na mtu yule au yule au huyu nambaya zaidi ukute YULE MTU NI MPUMBAVU,HANA AKILI KICHWANI....Utafedheheshwa sana, Utaumizwa sana, utalia sanaaa n.k !!.

Kwa Bahati mbaya Wahanga wa Mapenzi haya ya Mitandaoni huwa ni Wanawake !!! Ndio wanawake !!.

Inawezekana Umewah kua Mtendaji au Mtendwa wa mambo haya, au tu nishahidi kupitia kinachoendelea mitandaoni, Ukiingia kule Twita, aiseee watu wanaabishwaaa, wanafedheheshwa sanaaaaa .

Chanzo cha Haya yote nini?

[emoji117]Demu ameachwa, anaona atoke na jamaa mwengine ili amkomoe na zaidi anajiweka wazi aonekane kua amepata bwana... Anasahau kua Ex Boy wake ni Mpumbavu hana akili.

[emoji117]Jamaa ni Muhuni mtu wa madem na kuacha, sasa demu mmoja kaamua kumlipua ..... Ndio wakati mwingine hii inakujaga kuwakoa wengine ambao nao walikua kwa Foleni .

[emoji117]na Kwakua kila mmoja anamapicha ya utupu ya mwenzake, basi hapo ndio Radhi humwaga.( Zingatia). Hapa siwalaumu wanawake sana, Ni sababu tu wanawake wakishampenda mtu, hugeuka kua Vipofu nakufanya vile wanavyoagizwa, nasio kwamba Sijui Hajiheshim wala nn. Noooo ni sababu amekuamin.

Asilimia kubwa ya watu wa aina hii ya mahusiano, hukutana na kulana kimasihara tu, sijui km huwa kuna matumizi ya kondomu au kupima afya n.k ( wanajua wao )...

Sio kila kitu unachokifanya mitandaoni hasa maisha yako ya mahusiano lazima ukitafutie Attention kwa watu , et uwaonyeshe watu umepata Bwana fulani, umeachana na Fulani umepata Fulani, wacha watu wajue .

Kumbuka kuna watu wana mafaili yako ,wanakungoja uharibu tu .

[emoji117]Sema na wanaume tuache Upumbavu, ndio nasema niupumbavu kwa sababu, Unakuta mtu umemtongoza mwanamke kakukubalia, baada ya kwenda naye siku kadhaa, unamtema, unampotezea kabisaa, unamgeuza adui,, hiii kitu imefanya wanawake wengi wawe na mateso ya kihisia , Akikuhofia utakuja kumuharibiaa, basi Mdada wawatu inamlazimu kuishi miyon akiugulia.

#Self Respect ...ndio Ufunguo!.
Nimemkumbuka demis
 
Pia ni kutokujitambua inasababisha Sasa ukishampost hivo huyo mwanamke kumzalilisha kipi ambacho huwa Wana gain. Ni kuwa makini tu maana watu wengine wako so immature na kujiandaa kwa lolote tu maana kuzalilishana naona ni sifa na inabidi ndugu jamaa wazoee tu, pia wanawake yatupasa kuwa makini kutuma mipicha ya uchi waweza achana na mjuba akasambaza, ujue watu wengine kuharibia wengine huwapa faraja loh
Hivi kuanza kumtumia mwanaume mapicha ya uchi akili iko sawa kweli?[emoji848]

Mi huwa nashangaa sana
 
Aise hali ni mbaya..hivi mtu unawezaje kuambiwa babe nitumie picha zako za utupuw nawe ukakubali jamani [emoji2296][emoji2296]Yatupasa tuwe makini zaidi

Hali inatisha hakika.[emoji17][emoji17][emoji17][emoji17][emoji17]
Si umezama penzini dear[emoji848]
 
wakati mwengine, ndio maana ni ngumu kumpost mtu

Wee unapost kwa kujiachiaa...

Alafu njemba inakuandikia..."Nmechakata Jana" ..na picha hizi hapa[emoji23][emoji23][emoji23]

Ukute wee Ndo umeweka makazi ya kudumu mamaeeee!!!
katika vitu hunifanya nijichukie ni hicho..
una mpeti peti demu unamuona wa thamani kumbe hapo upo nae ametoka kuliwa anakurembulia mimacho tuu..kmmk mbichi
 
Nimecheka sana yani hujamchelewesha mapema kabisa ukamkumbusha mapito. Ila kwa hali ya kawaida mtu kama the Jackal hawezi kosa mahusiano humu. Wengine ambao lazima wawe wamepitia hii ni yule mshambuliaji wa zamani wa Chelsea mwenye avatar ya bia.
Kuna watu humu wanajionaga wajanja kumbe wanajichoresha tu, tatizo ujana na ujuaji mwingi kumbe ujinga anaofanya wengine tumestaafu
 
Ilikuwa kati ya 2018 na 2019 hivi, kipindi hicho mambo yalikuwa moto, akina ngabu, fisadi kuu, mamasabrina nk
Unajua JF ya 2017 mpaka 2019 ilikuwa bomba tofauti na hii ya 2020 na 2021 ambazo wanaotamba ni kina Gsam kila kifo kikitokea wanasema ni corona. Mimi nammiss Demiss
 
Back
Top Bottom