Ongezeko la mfedhehesho wa Mahusiano ya Mitandaoni

Ongezeko la mfedhehesho wa Mahusiano ya Mitandaoni

Sasa demu ana pepo la ngono haridhiki jamaa maji yalimfika shingoni maana pumzi hana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]stori ilikuwa ni kuuziwa mbuzi kwenye gunia ukifika home unakuta ni nyau
 
Huu ndo ubuladifakini wenyewe
niko na grupu moja la watu mashuhuri africa mashariki na kati.
wale jamaa ni wahuni sana.
video na picha wanazotuma ni 100%bongo.
wao majita huwa huwaweki sura zao bali sauti tuu akimwambia demu apanue vzr!!
ofcoz hapo utajua jinsi mademu wa kibongo jinsi wanamenywa mikuundu!!
huwa nafungua hizo video kimachale sana nisije kumkuta demu wangu anamenywa matako.ni hatari sana mkuu
 
Sema mzee wa kilinge naye alichemsha, aliuza file kwa mwanamtandao wa jf vitu vikavuja. Utoto
Lile file litakuwa limeuzwa na wadau wengine maana yule manzi alikuwa anajuana na wengi. Baadae alijaribu kurudi ila akapotea tena najikuta napenda awepo MMU achangamshe genge
 
Picha inaanziaga hapa unakuta ndani ya Mahusiano hayo Mwanamke mmoja kutembea na Wanaume wengii ndani ya Huohuo mtandaojamii.

Au mwanaume mmoja kutembea na wanawake weeengi humohumo ndani ...

Hii kitu Athari yake huja hasa baada ya Kuachana na mtu yule au yule au huyu nambaya zaidi ukute YULE MTU NI MPUMBAVU,HANA AKILI KICHWANI....Utafedheheshwa sana, Utaumizwa sana, utalia sanaaa n.k !!.

Kwa Bahati mbaya Wahanga wa Mapenzi haya ya Mitandaoni huwa ni Wanawake !!! Ndio wanawake !!.

Inawezekana Umewah kua Mtendaji au Mtendwa wa mambo haya, au tu nishahidi kupitia kinachoendelea mitandaoni, Ukiingia kule Twita, aiseee watu wanaabishwaaa, wanafedheheshwa sanaaaaa .

Chanzo cha Haya yote nini?

[emoji117]Demu ameachwa, anaona atoke na jamaa mwengine ili amkomoe na zaidi anajiweka wazi aonekane kua amepata bwana... Anasahau kua Ex Boy wake ni Mpumbavu hana akili.

[emoji117]Jamaa ni Muhuni mtu wa madem na kuacha, sasa demu mmoja kaamua kumlipua ..... Ndio wakati mwingine hii inakujaga kuwakoa wengine ambao nao walikua kwa Foleni .

[emoji117]na Kwakua kila mmoja anamapicha ya utupu ya mwenzake, basi hapo ndio Radhi humwaga.( Zingatia). Hapa siwalaumu wanawake sana, Ni sababu tu wanawake wakishampenda mtu, hugeuka kua Vipofu nakufanya vile wanavyoagizwa, nasio kwamba Sijui Hajiheshim wala nn. Noooo ni sababu amekuamin.

Asilimia kubwa ya watu wa aina hii ya mahusiano, hukutana na kulana kimasihara tu, sijui km huwa kuna matumizi ya kondomu au kupima afya n.k ( wanajua wao )...

Sio kila kitu unachokifanya mitandaoni hasa maisha yako ya mahusiano lazima ukitafutie Attention kwa watu , et uwaonyeshe watu umepata Bwana fulani, umeachana na Fulani umepata Fulani, wacha watu wajue .

Kumbuka kuna watu wana mafaili yako ,wanakungoja uharibu tu .

[emoji117]Sema na wanaume tuache Upumbavu, ndio nasema niupumbavu kwa sababu, Unakuta mtu umemtongoza mwanamke kakukubalia, baada ya kwenda naye siku kadhaa, unamtema, unampotezea kabisaa, unamgeuza adui,, hiii kitu imefanya wanawake wengi wawe na mateso ya kihisia , Akikuhofia utakuja kumuharibiaa, basi Mdada wawatu inamlazimu kuishi miyon akiugulia.

#Self Respect ...ndio Ufunguo!.
cc: Baraza la Sanaa Tanzania na Wasanii wote wa kibongo
 
Back
Top Bottom