Ongezeko la mfedhehesho wa Mahusiano ya Mitandaoni

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nimecheka sana yani hujamchelewesha mapema kabisa ukamkumbusha mapito. Ila kwa hali ya kawaida mtu kama the Jackal hawezi kosa mahusiano humu. Wengine ambao lazima wawe wamepitia hii ni yule mshambuliaji wa zamani wa Chelsea mwenye avatar ya bia.
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwishoni kabisa picha zake zikapostiwa alafu alikuwa main wa mzee wa kilingeni. Sema walimkosea sana hakuwa na shida na mtu, alikuwa anafanya mambo yake bila kuumiza watu
Main wa babuuuh? Au [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tena JF? Ndo kabisaah[emoji23][emoji23][emoji23]
Watu vichaa humu wamevurugwa na life dear na wako too fake hawana mbele Wala nyuma, ila pia Kuna watu wazito na matured Sana tu humu ni nadra kukuta wanasambazana humu loh.
 
Watu vichaa humu wamevurugwa na life dear na wako too fake hawana mbele Wala nyuma, ila pia Kuna watu wazito na matured Sana tu humu ni nadra kukuta wanasambazana humu loh.
Hahahahah ila kudate naa mtu wa mtandaoni ni risk sana jaman. Ila nachoka hapo kwenye picha za uchi jaman mmmmh.
 
Mr bonge namju uyo jamaa inside out anatafsiri tamthilia ya the city character "Civan"

Ni mwalimu by professional ambae hajaajiriwa

UDSM ALUMNI
Yeah,
Ata hapo yeye hausiki ila aliscreenshort alafu akapost akijiita mwandishi wa habari za iyo vita.

watu wa twitter iyo wanaiita vita ,
#kwani uyo ni baby wako??[emoji28]
Na zipo nyingi[emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…