cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Tena JF? Ndo kabisaah[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana kujenga mahusiano na watu wa mtandaoni huwa ni hatari wengi wamevurugwa na maisha na stress why kuzalilishana ka mlishaachana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena JF? Ndo kabisaah[emoji23][emoji23][emoji23]Ndio maana kujenga mahusiano na watu wa mtandaoni huwa ni hatari wengi wamevurugwa na maisha na stress why kuzalilishana ka mlishaachana.
Kheeeeeeh kumbeeh?Mshikaji kaposti demu wake mwamba mwingine kaibuka kasema memkula a week ago, katuma selfie zao, chattings na video, kidumu kitengo cha ngono Afrika
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huko tunapost Mapicha yetu alaaaah
Kule hamna kujificha fichaa kama humu
Ila sasa, Watu wanapigana miti kulee, wakiachanaa sasa ni Vurugu
Kuna Mwamba, alivuruga mademu Tisa, alafu akaoa mwingine wa kumi[emoji23][emoji23][emoji23]
Na wote wakajijua wamevurugwa na muhun...ebwanaaaa hiyo vita yake sasa
[emoji23][emoji23][emoji23]Nimecheka sana yani hujamchelewesha mapema kabisa ukamkumbusha mapito. Ila kwa hali ya kawaida mtu kama the Jackal hawezi kosa mahusiano humu. Wengine ambao lazima wawe wamepitia hii ni yule mshambuliaji wa zamani wa Chelsea mwenye avatar ya bia.
Main wa babuuuh? Au [emoji23][emoji23][emoji23]Mwishoni kabisa picha zake zikapostiwa alafu alikuwa main wa mzee wa kilingeni. Sema walimkosea sana hakuwa na shida na mtu, alikuwa anafanya mambo yake bila kuumiza watu
Watu vichaa humu wamevurugwa na life dear na wako too fake hawana mbele Wala nyuma, ila pia Kuna watu wazito na matured Sana tu humu ni nadra kukuta wanasambazana humu loh.Tena JF? Ndo kabisaah[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Na wewe kwa mahondaw uliingia kichwa kichwa
Hahahahah ila kudate naa mtu wa mtandaoni ni risk sana jaman. Ila nachoka hapo kwenye picha za uchi jaman mmmmh.Watu vichaa humu wamevurugwa na life dear na wako too fake hawana mbele Wala nyuma, ila pia Kuna watu wazito na matured Sana tu humu ni nadra kukuta wanasambazana humu loh.
SawaHa haa kivuruge wewe
Utaachwa shauri yako[emoji16][emoji16]Mimi hapana kwa kweli kutumiana mipicha ni big no
Bora niachwe tu nimekua Mimi kipaumbele sio mapenzi au kutegemea mtu anipe furaha jamaniUtaachwa shauri yako[emoji16][emoji16]
Kipaumbele chako ni nini carihaBora niachwe tu nimekua Mimi kipaumbele sio mapenzi au kutegemea mtu anipe furaha jamani
Umeamua kumpaka tu 😅😅😅Na wewe kwa mahondaw uliingia kichwa kichwa
Jamani kumbe unanilia mingo tu 😅Nakucheki tu...ipo siku nitakulipua hutoamini
SiyoCoco na denge au
Nipe code nani na naniSiyo
Pita kwa uyu mwamba[emoji28]Nipe code nani na nani
Mr bonge namju uyo jamaa inside out anatafsiri tamthilia ya the city character "Civan"Pita kwa uyu mwamba[emoji28]View attachment 1844730
Yeah,Mr bonge namju uyo jamaa inside out anatafsiri tamthilia ya the city character "Civan"
Ni mwalimu by professional ambae hajaajiriwa
UDSM ALUMNI