ndivo mnavyowafanyia watoto wetu pindi wasiponunua maandazi yenu,mnawatukana matusi ya nguoni mnasema mmekereka,kama mshahara hautoshi ungeenda fani nyingine na kuacha kulalamika,ukibaki kuwa mwalimu inabidi ukubali mambo mawili,1 ufaulu wako haukuruhusu kwenda fani nyingine,2 ualimu ni wito huo ndo uhalisia msipige kelele kila siku mshahara fanyeni kazi ionekane sio kutuzalishia maziro na graduate wasiojua kusoma hutaki nenda fani nyingine la sivyo umekubali ualimu ni wito
ha!ha!ha! Mkuu unawaumiza roho sana walimu. subiri matusi yao sasa