Ongezeko la mishahara kwa walimu

Ongezeko la mishahara kwa walimu

ndivo mnavyowafanyia watoto wetu pindi wasiponunua maandazi yenu,mnawatukana matusi ya nguoni mnasema mmekereka,kama mshahara hautoshi ungeenda fani nyingine na kuacha kulalamika,ukibaki kuwa mwalimu inabidi ukubali mambo mawili,1 ufaulu wako haukuruhusu kwenda fani nyingine,2 ualimu ni wito huo ndo uhalisia msipige kelele kila siku mshahara fanyeni kazi ionekane sio kutuzalishia maziro na graduate wasiojua kusoma hutaki nenda fani nyingine la sivyo umekubali ualimu ni wito

ha!ha!ha! Mkuu unawaumiza roho sana walimu. subiri matusi yao sasa
 
ndivo mnavyowafanyia watoto wetu pindi wasiponunua maandazi yenu,mnawatukana matusi ya nguoni mnasema mmekereka,kama mshahara hautoshi ungeenda fani nyingine na kuacha kulalamika,ukibaki kuwa mwalimu inabidi ukubali mambo mawili,1 ufaulu wako haukuruhusu kwenda fani nyingine,2 ualimu ni wito huo ndo uhalisia msipige kelele kila siku mshahara fanyeni kazi ionekane sio kutuzalishia maziro na graduate wasiojua kusoma hutaki nenda fani nyingine la sivyo umekubali ualimu ni wito
Ushavurugwa na maisha uliyopitia sio kosa lako kama nilivyokwambia,na usiwalaumu walimu bali mlaumu aliyekukosesha bahati ya kufaulu wakati unasoma

afu jibu ulichouliza usilete bla bla
kuwa makini na kazi ya mtu,kwan mwalimu si mtu?nani asiyetoa maneno ya kukera endapo kaudhiwa?wat z busara?wewe unazo?hata ng'ombe anazo..
Uwezo wa kufikiri unapimwaje?na wew unauwezo wa kiasi gan?lazima utakuwa 0 tu.kama sio usingeandika uo upuuzi.
fikiria wanao alafu urudie kuandika iyo comment
 
ucipunguze ukali wa maneno kwa kusema eti maneno ya kejeli sema matusi na wewe mwenyewe umeyaona nfkiri anayetukana akikereka ni yule mwenye busara kama za ng'ombe majibu yote unayo wewe..jitazame mwenyewe na bahati mbaya enzi zangu sijawahi kufeli na hii ilitokana na walimu makini wenye wito ila nna wasiwasi na walimu wa sikuhizi la sivyo kusingekuwa na magraduate wasiojua kusoma,kipofu anamuongozaje kipofu?
 
graduate hajui kusoma wala kuandikaa...?hebu mnijuze jamani.kuna data za darasa la saba wamalizao shule na hawajui kusoma na kuandika ss standad 7 ni graduate?ni mimi MBURULA AU HUYU JAMAA?nisaidieni.
 
Ok!! Habari kutoka jikoni kabisa zinaeleza ya kuwa mshahara wa mwalimu utapanda compared to those rate ever occur,hii ni kutokana na sababu zifuatazo.1.Walimu wanachapa kazi sana kama unabisha angalia matokeo ya mwaka jana kuanzia primary hadi A level.2.walimu wanafanya kazi mda mrefu sana kwa siku,huwezi fananisha na madaktari wala wahandisi.3.walimu wengi ukicheki huwaga hawafoji vyeti kama kada zingine,hizo ndio sababu zilizosababisha serikali na wataalamu kawa ujumla kuongeza mishahara ya walimu hadi kufikia sh.965,580.
 
big Q unatabia ka za Fa mama ako na baba ako wote walimu
 
Ngoja ntulie na baed yangu vinginevyo ntajitafutia ban tu
 
Muongezewe mshahara kwa kazi gani mnayofanya,au kwa elimu gani mlionayo vilaza wakubwa nyie?mmekalia kuuza kashata na mandazi huko mashuleni huku mkiwaacha wadogo zetu wakifeli mitihani halafu bado mnataka muongezewe mishahara!acheni tabia za kiliberali bana.

ungejulia wapi jf wewe acha ushoga madaktari wenyewe walifunfwa na walimu...
 
Back
Top Bottom