Ongezeko la Mshahara la 23.3% Serikali itoe ufafanuzi

Missile of the Nation

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2018
Posts
15,101
Reaction score
56,054
Hakuna kitu kibaya kama kutoa taarifa nusunusu au taarifa tata kwa malengo maalum

Watu jana wameshangilia na kufurahi kuwa ongezeko la mshahara la asilimia 23.3 ni kwa watu wote , lakini leo asubuhi tunaamka na uelewa tofauti kuwa ongezeko hilo ni kwa Wafanyakazi wanaopata kima cha chini , Tunaitaka serikali itoe ufafanuzi.

Isitoshe taarifa kubwa na nyeti kama hiyo kwa nini itolewe na kurugenzi ya Habari Ikulu kwa maandishi na si kwa sauti ya kiongozi mwenye dhamana ya Watumishi ambaye ama ni rais au waziri wa Utumishi?-WANAKWEPA MASWALI?.

Tunataka clarification ya hili suala ili kama kupongeza tupongeze kwa haki siyo kupewa taarifa yenye utata halafu kumbe watawala walichomaanisha ni tofauti!
 
Watu jana wameshangilia na kufurahi kuwa ongezeko la mshahara la asilimia 23.3 ni kwa watu wote , lakini leo asubuhi tunaamka na taarifa tofauti kuwa ongezeko hilo ni kwa Wafanyakazi wanaopata kima cha chini , Tunairaka serikali itoe ufafanuzi.

Asilimia 23.3 ni kwa wale wanaopata 150000; 270000, na 300000/= over
 
Rais wa TUCTA, Nyamhokya alifafanua jana TBC1 kuwa asilimia inashuka kadri mshahara unavyoongezeka.
 
Hakuna kitu kibaya kama kutoa taarifa nusunusu au taarifa tata kwa malengo maalum

Watu jana wameshangilia na kufurahi kuwa ongezeko la mshahara la asilimia 23.3 ni kwa watu wote , lakini leo asubuhi tunaamka na uelewa tofauti kuwa ongezeko hilo ni kwa Wafanyakazi wanaopata kima cha chini , Tunaitaka serikali itoe ufafanuzi.

Isitoshe taarifa kubwa na nyeti kama hiyo kwa nini itolewe na kurugenzi ya Habari Ikulu kwa maandishi na si kwa sauti ya kiongozi mwenye dhamana ya Watumishi ambaye ama ni rais au waziri wa Utumishi?-WANAKWEPA MASWALI?.

Tunataka clarification ya hili suala ili kama kupongeza tupongeze kwa haki siyo kupewa taarifa yenye utata halafu kumbe watawala walichomaanisha ni tofauti!
Miaka yote tangia nimeanza kuliona jua na kufuatilia upandishwaji wa mishahara hasa wakati ule ikitangazwa wakati wa sherehe za May Day, sijawahi kusikia mtangazaji akidadavua kupandisha mshahara kuanzia kima cha chini hadi cha juu. Siku zooooote huwa inasemwa tunapandisha kima cha chini kutoka shilingi kadhaa hadi shilingi kadhaa ama tunapandisha kima cha chini kwa asilimia kadhaa. Baada ya hapa watu wa utumishi wanaenda kufanya ukokotozi kulingana na taratibu zao na kutoa mkeka wa mishahara mipya kulingana na salary scales.
 
Ongezeko linaendana na mshahara, mtu anayepokea milioni tano huwezi kumpa ongezeko Hilo, mwenye mshahara mdogo anaongezwa asilimia nyingi, mama ndio anajali wanyonge, na masikini, sio yule,
You are very right and tight. Hata JPM alivyopunguza PAYE kutoka 11% hadi 9% benchmark ilikuwa kima cha chini na siyo kila mtu alipunguziwa kwa 2%, wengine walipunguziwa kwa 0.2%.
 
Lile tangazo limefafanua vizuri kabisa. Serikali imesema "Rais ameridhia mapendekezoya ongezeko la mshahara kwa watumishi ikiwemo kima cha chini kwa asilimia 23.3%" sasa hapo pagumu wapi kueleweka?
 
Ila hili limekuwa fumbo kubwa, yaani hakuna mwanajamii forum alieyeweza kutoa jibu. Yaaani bado usiri ni mkubwa sana
Soma hiyo

IMG_20220515_083725.jpg
 
Hakuna kitu kibaya kama kutoa taarifa nusunusu au taarifa tata kwa malengo maalum

Watu jana wameshangilia na kufurahi kuwa ongezeko la mshahara la asilimia 23.3 ni kwa watu wote , lakini leo asubuhi tunaamka na uelewa tofauti kuwa ongezeko hilo ni kwa Wafanyakazi wanaopata kima cha chini , Tunaitaka serikali itoe ufafanuzi.

Isitoshe taarifa kubwa na nyeti kama hiyo kwa nini itolewe na kurugenzi ya Habari Ikulu kwa maandishi na si kwa sauti ya kiongozi mwenye dhamana ya Watumishi ambaye ama ni rais au waziri wa Utumishi?-WANAKWEPA MASWALI?.

Tunataka clarification ya hili suala ili kama kupongeza tupongeze kwa haki siyo kupewa taarifa yenye utata halafu kumbe watawala walichomaanisha ni tofauti!

Wewe ni mgumu sana kuelewa tatzo mmezoea kudanganywa sasa unaona hili haliwezekani Soma ile taarifa vzr inajieleza kabisa ,sasa utata unaosema uko wap?
 
Back
Top Bottom