Ongezeko la Mshahara la 23.3% Serikali itoe ufafanuzi

Hakuna kitu kibaya kama kutoa taarifa nusunusu au taarifa tata kwa malengo maalum

Watu jana wameshangilia na kufurahi kuwa ongezeko la mshahara la asilimia 23.3 ni kwa watu wote , lakini leo asubuhi tunaamka na uelewa tofauti kuwa ongezeko hilo ni kwa Wafanyakazi wanaopata kima cha chini , Tunaitaka serikali itoe ufafanuzi.

Isitoshe taarifa kubwa na nyeti kama hiyo kwa nini itolewe na kurugenzi ya Habari Ikulu kwa maandishi na si kwa sauti ya kiongozi mwenye dhamana ya Watumishi ambaye ama ni rais au waziri wa Utumishi?-WANAKWEPA MASWALI?.

Tunataka clarification ya hili suala ili kama kupongeza tupongeze kwa haki siyo kupewa taarifa yenye utata halafu kumbe watawala walichomaanisha ni tofauti!
Umeongezewa 10k
 
KWA Iyo yule aliekua anapata mil MOJA maisha yako hivyo miaka sita ,punguzeni na mamishara yenu huko,leo mhudum wa bunge,au sectary / mfagiaji wa ofisi kwenye wizara yote mshahara wake ni Kama secretary wa kwenye halmashauri,mfagiaji wa kwenye alimashauri, au wa Ikulu na japo elim wanalingana ,hakuna sifa Hapa nchi hii inaubaguzi Sana hii
Sasa Mungu anasema 2025 Kama uchaguzi utakuepo AMEkATAA hata iweje hamtoboi, asema Bwana , huwezi Tesa watu wa Mungu ambao mmeumbwa sawa tofauti ni madaraka tu ,usilipwe, niliyasema haya KWA Mwendazake, na nayarudia tena serikali ya ccm mnatesa watu, mnakiuka utu ,haki na usawa ,Kama ilivyo Katika miiko yenu, nimemaloza tunzen huzi huu
Jack Ma, bilionea wa China, alikuwa mwalimu kama wewe. Alipoona koti la utumishi wa umma halimtoshi, akatafuta fursa nje ya utumishi wa umma. Hivi sasa ni bilionea!
 
Achana na Mimi kwanza, binafsi ni mtu wa haki full stop ,Mara MOJA, we wenda ngeni jf au wakufutilia post zangu ,siko Hapa jipendekeza, that's juzi nilimtetea hata mh makamba,kisa kuona anasakamwa ,kaa mbali nami kabisa by the way hata nikiwa mwalim ,so mwalim Hana haki nchi hii? Stop ,stop ,nakuonya,sie tupo mitaani tunaona how Jambo lao limewaumiza,
Leo wasifia eti kima Cha chini haijawahi tokea vipi walioko juu yao wanajisikia vipi, ? Kwamba waliochini Sasa wanaweza FANYA KAZI za walio juu yao ,alafu mwajisifu ndo washauri wakuu akiongea mtu eti mwalim let be kwani wao ni mashetani, mnaligawa taifa bila kujua litakuja rekebika mda umeenda sana
 
mnaligawa taifa bila kujua litakuja rekebika mda umeenda sana
Napenda kuiombea radhi serikali kwa kuchukua hatua za kuboresha maslahi ya mtumishi wa umma. Serikali imefanya makosa makubwa sana.
Napenda nikuahidi. Mwakani haitorudia kufanya makosa haya.
Kwa maana hiyo mwaka ujao wa fedha, nyongeza ndogo ya mshahara- HAITAKUWEPO
Kupanda madaraja- HAKUTAKUWEPO
Uamisho - HAUTAKUWEPO
Ulipaji wa madai/ Malimbikizo - HAUTAKUWEPO
Sana sana
Serikali nimeiomba ijikite kutoa ajira mpya kwa vijana wanaoteseka kuzungusha bahasha kuliko kuhangaika na hawa ambao hawana shukrani.
Samahanini sana watumishi wa umma kwa kilichotokea. Naamini hakitajirudia tena mpaka tunavuka 2025.
Sasa ni kujikita kuajiri vijana angalau laki 3 on our way to 2025.
Nyie wengine MTAJIJUA!
 
Hata ungeajiri watu laki sita KAZI hawezi kwenda bila wazoefu, muundo wa utumishi kurisishana uzoefu, we ukiona watu kama mzee ,Mkuchika ,lukuvi wapo unafikili wapo kwa bahati mbaya, wapo kutoa uzoefu KWa watu wengine, jidanganye
 
Ridhikeni na hicho kidogo mlichoongezewa. Sisi tusiolipwa mshahara tumeongezewa kodi na hatulii lii hivyo. Tuwe wazalendo kujitolea kuijenga nchi yetu. Kama huwezi acha!
 
Hata ungeajiri watu laki sita KAZI hawezi kwenda bila wazoefu, muundo wa utumishi kurisishana uzoefu, we ukiona watu kama mzee ,Mkuchika ,lukuvi wapo unafikili wapo kwa bahati mbaya, wapo kutoa uzoefu KWa watu wengine, jidanganye
Joshua alipewa kazi ya kuwa Kiongozi wa Israel akiwa na miaka 20. Uzoefu aliutoa wapi?
 
Sasa unazungumzia kizazi hicho mkuu, why usemi MWL na baba wa Taifa kwamba waliwezaje na wenzake fukuza wakoloni? achana habari izo jikite Sasa KWENYE nchi isiosadikika,
 
Ongezeko hilo la manati Mwigulu anakuzunguuka tena analichukua pale unapokwenda kudraw pesa zako kwenye account!.
Akina Mwigulu wanajiona wajaaaanja kumbe wanatutia hasira tu!
 
Hizi hesabu bwana,mwaka jana kodi ilishushwa asilimia 1% na ongezeko likawa ni Tshs 2000 Leo umeongezwa asilimia 23%badiliko ni dogo.mnaojua nipeni formula.haiwezekani nyongeza iwe ni fedha taslim na hazina sent s
 
.
IMG-20220724-WA0019.jpg
 
Eti...wanadai walikuwa wanamategemeo ya kuongezewa kiasi kikubwa, hivyo wanadai nyingeza hii imeshusha ari yao lakini pia imewaongezea msongo wa mawazo!!!

Huu ni unafiki mkubwa, sioni sbabu ya kung'ang'ania kubaki na ujira mdogo, kama kuna mtu au watu wasio ridhika na nyongeza nenda katatufa ajira kwengine, vinginevyo ukibaki halafu ukaanza kuhujumu shughuli za Serikali utaumizwa zaidi.

Nyongeza hiyo ni ndogo lakini ndio uwezo wa Serikali yetu.....unakubali chukua hataki acha,

Tunaiomba Seriakali ianze kufuatilia wale ambao wanalalamika ili iwaachishe kazi kwa masilahi ya umma.
 
Sasa hivi ni kama kuna ka mgomo baridi na manung'uniko ya chini kwa chini
 
Lile tangazo limefafanua vizuri kabisa. Serikali imesema "Rais ameridhia mapendekezoya ongezeko la mshahara kwa watumishi ikiwemo kima cha chini kwa asilimia 23.3%" sasa hapo pagumu wapi kueleweka?
Okay kama kunamtu anajua kundi walio ongezewa 23%, awataje
 
Mkuu, sisi ni watumishi wa uma, tunatibu wazazi wako na kuwafundisha wanao. Hatujaongezwa mishahara miaka chungu nzima na gharama zinapanda maradufu. Tulilizika na Nyongeza ndogo ya asilimia 23 lakini mbona hata hiyo tumedanganywa?
Kuacha kazi tunatamani watupe haki ya fao la kujitoa uone.
Sisi sio mashine
sisi sio wanyama kazi
sisi ni watu wenye mioyo kama wao na nyie

Eti...wanadai walikuwa wanamategemeo ya kuongezewa kiasi kikubwa, hivyo wanadai nyingeza hii imeshusha ari yao lakini pia imewaongezea msongo wa mawazo!!!

Huu ni unafiki mkubwa, sioni sbabu ya kung'ang'ania kubaki na ujira mdogo, kama kuna mtu au watu wasio ridhika na nyongeza nenda katatufa ajira kwengine, vinginevyo ukibaki halafu ukaanza kuhujumu shughuli za Serikali utaumizwa zaidi.

Nyongeza hiyo ni ndogo lakini ndio uwezo wa Serikali yetu.....unakubali chukua hataki acha,

Tunaiomba Seriakali ianze kufuatilia wale ambao wanalalamika ili iwaachishe kazi kwa masilahi ya umma.
 
Ufafanuzi usitoke
Msigwa akafanye KAZI nyingine
Huu mshahara unatosha tu
 
Back
Top Bottom