Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Asilimia 23.3 ni kwa wale wanaopata 150000; 270000, na 300000/= overHakuna kitu kibaya kama kutoa taarifa nusunusu au taarifa tata kwa malengo maalum
Watu jana wameshangilia na kufurahi kuwa ongezeko la mshahara la asilimia 23.3 ni kwa watu wote , lakini leo asubuhi tunaamka na taarifa tofauti kuwa ongezeko hilo ni kwa Wafanyakazi wanaopata kima cha chini , Tunairaka serikali itoe ufafanuzi.
Isitoshe taarifa kubwa na nyeti kama hiyo kwa nini itolewe na kurugenzi ya Habari Ikulu kwa maandishi na si kwa sauti ya kiongozi mwenye dhamana ya Watumishi ambaye ama ni rais au waziri wa Utumishi?-WANAKWEPA MASWALI?.
Tunataka clarification ya hili suala ili kama kupongeza tupongeze kwa haki siyo kupewa taarifa yenye utata halafu kumbe watawala walichomaanisha ni tofauti!
Rais wa TUCTA, Nyamhokya alifafanua jana TBC1 kuwa asilimia inashuka kadri mshahara unavyoongezeka.Hakuna kitu kibaya kama kutoa taarifa nusunusu au taarifa tata kwa malengo maalum
Watu jana wameshangilia na kufurahi kuwa ongezeko la mshahara la asilimia 23.3 ni kwa watu wote , lakini leo asubuhi tunaamka na taarifa tofauti kuwa ongezeko hilo ni kwa Wafanyakazi wanaopata kima cha chini , Tunairaka serikali itoe ufafanuzi.
Isitoshe taarifa kubwa na nyeti kama hiyo kwa nini itolewe na kurugenzi ya Habari Ikulu kwa maandishi na si kwa sauti ya kiongozi mwenye dhamana ya Watumishi ambaye ama ni rais au waziri wa Utumishi?-WANAKWEPA MASWALI?.
Tunataka clarification ya hili suala ili kama kupongeza tupongeze kwa haki siyo kupewa taarifa yenye utata halafu kumbe watawala walichomaanisha ni tofauti!
... hoja ni na hao wengine? Ndicho anachohoji mleta mada, why taarifa inatolewa nusunusu?Asilimia 23.3 ni kwa wale wanaopata 150000; 270000, na 300000/= over
Hao wengine itafuatwa formula... hoja ni na hao wengine? Ndicho anachohoji mleta mada, why taarifa inatolewa nusunusu?
... hata hao wa 23.3% ni formula pia! Kwanini formula moja inawekwa wazi nyingine zinafichwa?Hao wengine itafuatwa formula
Kwisha habari , umeeleza vizuri alafu watu wanashangilia, hii ndo tz BwanaAsilimia 23.3 ni kwa wale wanaopata 150000; 270000, na 300000/= over
Unaweza kutuwekea hayo mahojiano hapRais wa TUCTA, Nyamhokya alifafanua jana TBC1 kuwa asilimia inashuka kadri mshahara unavyoongezeka.
Miaka yote tangia nimeanza kuliona jua na kufuatilia upandishwaji wa mishahara hasa wakati ule ikitangazwa wakati wa sherehe za May Day, sijawahi kusikia mtangazaji akidadavua kupandisha mshahara kuanzia kima cha chini hadi cha juu. Siku zooooote huwa inasemwa tunapandisha kima cha chini kutoka shilingi kadhaa hadi shilingi kadhaa ama tunapandisha kima cha chini kwa asilimia kadhaa. Baada ya hapa watu wa utumishi wanaenda kufanya ukokotozi kulingana na taratibu zao na kutoa mkeka wa mishahara mipya kulingana na salary scales.Hakuna kitu kibaya kama kutoa taarifa nusunusu au taarifa tata kwa malengo maalum
Watu jana wameshangilia na kufurahi kuwa ongezeko la mshahara la asilimia 23.3 ni kwa watu wote , lakini leo asubuhi tunaamka na uelewa tofauti kuwa ongezeko hilo ni kwa Wafanyakazi wanaopata kima cha chini , Tunaitaka serikali itoe ufafanuzi.
Isitoshe taarifa kubwa na nyeti kama hiyo kwa nini itolewe na kurugenzi ya Habari Ikulu kwa maandishi na si kwa sauti ya kiongozi mwenye dhamana ya Watumishi ambaye ama ni rais au waziri wa Utumishi?-WANAKWEPA MASWALI?.
Tunataka clarification ya hili suala ili kama kupongeza tupongeze kwa haki siyo kupewa taarifa yenye utata halafu kumbe watawala walichomaanisha ni tofauti!
You are very right and tight. Hata JPM alivyopunguza PAYE kutoka 11% hadi 9% benchmark ilikuwa kima cha chini na siyo kila mtu alipunguziwa kwa 2%, wengine walipunguziwa kwa 0.2%.Ongezeko linaendana na mshahara, mtu anayepokea milioni tano huwezi kumpa ongezeko Hilo, mwenye mshahara mdogo anaongezwa asilimia nyingi, mama ndio anajali wanyonge, na masikini, sio yule,
Soma hiyoIla hili limekuwa fumbo kubwa, yaani hakuna mwanajamii forum alieyeweza kutoa jibu. Yaaani bado usiri ni mkubwa sana
Unadhani hii imetoka utumishi? Huon mtu katype wasap
Si wote wanatumia hiyo Scale. Kuna PHTS, PUTS, .....
Hakuna kitu kibaya kama kutoa taarifa nusunusu au taarifa tata kwa malengo maalum