Ongezeko la Mshahara la 23.3% Serikali itoe ufafanuzi

Mei Mosi hapa mlipongeza sana Uhuru Kenyatta kuongeza mshahara na mkafuahia kam vile nanyi ni Wakenya. Ikaja kwa Mwinyi kuongeza 15% napo mkamlaumu sana Samia.
Samia kaweka 23.3% imekuwa nongwa daaah[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Lile tangazo limefafanua vizuri kabisa. Serikali imesema "Rais ameridhia mapendekezoya ongezeko la mshahara kwa watumishi ikiwemo kima cha chini kwa asilimia 23.3%" sasa hapo pagumu wapi kueleweka?
Ugumu haupo ila kuna UTATA
 
Wewe hujasoma, hufanyikazi za umma unataka ufafanuzi iweje.

Wacha sie tujimwayemwaye july jambo letu liko fresh
 
Taarifa ya ikulu ipo sawa kwa upande wangu ila uelewa wa watu wengi umekuwa tofauti kidogo kwenye hii issue ya ongezeko la mshahara.
Taarifa inasema wazi kabisa,ongeza la 23.3% kwa watu wa kima cha chini,na wengine wameongezezwa pia ila hawajasema wazi wazi wameongezewa kwa asilimia ngapi. Issue ya hapo siyo 23.3%,issue ni watu wengine wameongezwa kwa asilimia ngapi.
 
Kwanini taarifa isitolewe moja kwa moja sio mpaka waje wafafanue ?
 

Sawa mtaalam,nikweli iko sawa Ila nadhani wangeweka hata jedwali kuondoa utata huu.
 
Lile tangazo limefafanua vizuri kabisa. Serikali imesema "Rais ameridhia mapendekezoya ongezeko la mshahara kwa watumishi ikiwemo kima cha chini kwa asilimia 23.3%" sasa hapo pagumu wapi kueleweka?
Ninaamini hoja ya mleta Uzi imekupita kushoto.
 
Umeandika nini sasa?
Naona unazunguka mlemle kwenye hoja ya mleta Uzi.
 
Hata hivyo kwakweli Awamu ya 6 Chini Rais Mama Samia inapaswa ipongezwe sana kwa hatua hii ya kuwaongezea masilahi watumishi wa Umma.
kimekuwa ni kilio cha muda mrefu sana kwa ndgu zetu watumishi.

Mama kaaamua
Hakuna haja ya kupongeza maana kapandisha kila kitu no faida ya kuwa na hela inayoishia Kula tu
 
Siku hizi mishahara haianikwi wazi kama zamani. Sasahivi mshahara ni Siri ya mwajiriwa na mwajiri wake
 
Hakuna haja ya kupongeza maana kapandisha kila kitu no faida ya kuwa na hela inayoishia Kula tu
kwa hiyo ulitaka awapunguziwe au?
punguza wivu mkuu.

Sasa angalu tutapumzika kukopwa na watumishi........maana kila kukicha walikuwa wanatusumbua kuomba tuwakopeshe.
 
Ile taarifa haina utata ila uelewa wenu tu ndiyo una utata.
 
Boss wa tucta kasema walio na mshahara kuanzia milioni mbili wataongezewa asilimia 1%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…