Stability
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 822
- 2,966
Kila kijana sasa amekuwa comedian.
Ukifuatilia vizuri sio kwamba ni watu wenye furaha au hata kujikimu sana basi tu wanafanya hivi ili wafariji nafsi zao kwa kujiconnect na watu na kutengeneza furaha bandia ili wadukue akili zao kuwa hawana tabu.
Kiukweli ni kuwa wana taabika kiakili sana.