Ongezeko la wadada kuchezesha makalio katika mitandao

Iz ze branch ofu APP zat iz uzed tu rimaind yu ifu yu a singo

Kikubwa nilichokiona tiktok ni couples 'zinazoringishia' namna mahusiano yao yanavyoendelea vizuri

Na kama una akili fupi alafu unadate zako na msukuma wako au muha unaweza umuache ukihisi akupendi[emoji28][emoji28]
 

Ni tiktok bhana
 
Wacha bwana warembo watumie walivyobarikiwa.....yaani tako ndio mtaji namba moja kwa mwanamke bwana
 

Sijui mimi ndo mshamba ila kuna mitandao sijawahi hata kujiunga nayo mfano:
1. TikTok
2. Snapchat
3. Instagram ( hii nilijiunga nikakuta ni umalaya tu nikafuta akaunti yangu fasta 2015)

4. Facebook (nilifuta application kwenye simu yangu, naichunguliaga mara chache sana kwa mwezi kupitia laptop tu)

5. WhatsApp (nilifuta kwenye simu yangu ya kila siku, naivizia mara moja moja kwenye simu ambayo situmii. Hata line inayotumika huko siyo yangu ila ndo hivyo)

Kimsingi nimekuwa very much against social media. Kwa sasa nadhani JF ndo natumia sana.
 
Iz ze branch ofu APP zat iz uzed tu rimaind yu ifu yu a singo

Kikubwa nilichokiona tiktok ni couples 'zinazoringishia' namna mahusiano yao yanavyoendelea vizuri
Yani mimi sijawah tumia hiyo app zaidi ya kukutana na video zenye logo yake. Ila naskia mambo moto sana huko
 

Zote hizo hata mimi sio mpenzi sana ila Whatsaap ni muhimu sana kwa kupiga na kupokea simu

Whatsaap ni tofauti kabisa na hizo kwani ni mawasiliano ya moja kwa moja na ndugu ni muhimu sana

Twitter ndio
 
Nilikuwa sijawahi ku install tiktok juzi nikaamua niidown load lengo nione vi comedy vya kina mc mbonele na yule mzee wa kujifanya wa mombasa kumbe ukitoa vichekesho trending videos zinazopendwa nchini...
Biashara ni matangazo mkuu maisha magumu acha wadada watumie fursa
 
Kwa mtu anayejihusisha na mambo ya ujasiriamali hawezi kukosa instagram na Whatsapp labda kama ni mwajiriwa.
 
Kwa mtu anayejihusisha na mambo ya ujasiriamali hawezi kukosa instagram na Whatsapp labda kama ni mwajiriwa.

Matumizi ya kibiashara ni tofauti ni matumizi binafsi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…