Ongezeko la Wadada Wanaonuka Mdomo. Hili ni Janga

Oyaaa umenikumbusha mbaliii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nilikuwa na demu wangu pisi kali kabisa full kunukia.....ila akifungua mdomo ayayayayayaaaaaa[emoji95][emoji95][emoji95]
 
Mi nimeacha kula vitunguu kwa sasa. Ukitaka kuamini kitunguu ni hatari ukiwa unakatakata harufu yake haitoki mikononi kwa muda mrefu hata ukikosha mikono.

Ukitaka kuamini hilo jaribu kunusa mikono ya mtu anayepika mara kwa mara utaipata hii harufu sasa wengine ndio wanapenda kula vibichi.
 
Dah sema hao masista du wanaona aibu kwenda chooni Mara kwa mara. Enyi wadada pendeni kwenda chooni kunya..jitahidi unye hata mara tano kwa siku [emoji1787][emoji1787][emoji1787] harufu nyingine zinatokea tumboni.
 
Tatizo hawali mkuu ile ni harufu ya njaa ...hawa watu ni wazee wa pasi ndefu ndio maana wengi wao wanakua mtego wao ni dinner au lunch
 
Katika wanawake 10 ,unaokutana nao 8 wanafanya mapenzi kwa kunyonya mboo na jinsi wanaume wengi walivyo wachafu wadada wanapata mifangasi inasambaa kinywani-kwa hali hiyo kwa nini wasinuke kinywa?

Wadada punguzeni kunyonya mboo za Wanaume.
 
Acha tu aisee inaboaga hivi watu wote kwa.ujumla mnajisikiaje hampigi mswaki mnanuka hadi mnaboa
 
Mimi dosari kubwa kabisa ambayo naweza kuiona kwa mwanamke ni kunuka mdomo. Tena nikishakugundua una harufu ya mdomo ujue uchumba wetu ndiyo unaenda kufa kifo cha mende very soon!
 
Exactly, usafi wa kinywa ni Muhimu..
 
Watu wengi wanaonuka modomo sio kwamba hawapigi mswaki, la hasha. Wanapiga vzuri tu, shida ni hawajui kusafisha ulimi. Hata upige mswaki na jiwe, kama hujasafisha ulimi vizuri lazma mdomo utatema tu.
 
NI AINA TU UNAYOKUTANA NAO NA INAWEZEKANA NI TYPE YAKO, MM BINAFSI SIJAWAHI KUKUTANA NA DEMU ANANUKA MDOMO.POLE SANA BADILI VIWANJA UTAKUTANA NA HATA MBUSU HAINA SMELL
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…