Ongezeko la Wanawake (Mabinti) Wenye Vitambi (Obesity) Mtaani

Ila naona wengi wameshajifungua tumbo linashindwa kurudi ndani kwa kweli inatia kero ukitaka kupiga mzigo kwa kweli sijui inakuwaje na likirudi linakuwa michirizi waangalie na usafi
πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
β€’ Junk Food , Hapa naongelea Vitu kama chipsi, mayai ya kisasa isikauke Sana, weka na Mayonaisi..
...na kuku wa kisasa na soda juu (au pombe)!
Unapenda kula na kunywa vitu feki lazima upate mwili feki.
Kuna mhenga alisema:
'What you put into life is what you get out of it.'
 
...na kuku wa kisasa na soda juu (au pombe)!
Unapenda kula na kunywa vitu feki lazima upate mwili feki.
Kuna mhenga alisema:
'What you put into life is what you get out of it.'
Soka La Juu Sana. πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Tatizo lingine ni uvivuuuuu yaani huwezi kumwambia afanye mazoezi akafanya hata siku tatu, wapo waliolipia mpaka gym hawaendi. Uvivu ni tatizo vitu vya home delivery shenzi sana, vifaa vingi hawafanyi kazi wenyewe, nk
 
😧😧😧😧😧😧😧😧😧😧😧😧😧
 
Vyakula vya wanga vingi bila zoezi inabadirisha na kuwa fat hivyo sehemu zote ambazo fat huhifadhiwa ndo inayoathirika

Ila wanakuwa naniii eeeee kunako naniiiieeee
 
matumbo makubwa yanakera ata kwenye kugegeduana. ndio maana vidume wanachepuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…